Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
- Thread starter
- #41
Maisha hayana formula, rafiki yangu akiwa 52 hakua anajisikia vizuri. Wakati huo last born ameanza chuo, amekwenda kwa daktari anaambiwa ana ujauzito wa miezi mitano.Vipi na sisi tunaotegemea wake zetu wajifungulie Miembeni dispensary tunaruhusiwa kuwazalisha at 50?
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Anasema aliona aibu, kanisani yeye ni Mwenyekiti wa wanawake, analetewa matatizo ya ndoa za vijana sasa leo anaenda labour na vijana!
Alijifungua salama bila kisu.