She did not disclose the method in which she welcomed her daughter, but four years ago credited science with giving her an opportunity to start a family 'whenever she wants', suggesting she was leaning towards using a surrogate.
Mwezi April alikua model kwenye clothes line ya Michael Kors na hakua na mimba.
Egg freezing, also known as mature oocyte cryopreservation, is a method used to save women's ability to get pregnant in the future. Eggs harvested from your ovaries are frozen unfertilized and stored for later use.Now with the way science is I think I can do it when I want
Kanizidi mmoja,yeye ni wa 1987 ...nakumbuka alijitangaza ivo kipindi cha umiss.Ila sikuhiz anajipunguza umri dailyWema ana miaka mingapi kwa sasa?
Alikuwa hot kwenye mambo ya modelling enzi za kina Michael Jackson.Duuh! Huyu maza nimemskia kitambo sana, enzi hizo yakitajwa mambo ya mavazi lazima atajwe
Kwahiyo wakiachana wanagawana mpunga au ni one way law?Naomi ana ukwasi, baba hawezi kudaiwa child support.
Ni single mother, hiyo ilikuwa ni assumptionKwani wameoana?
Hawaoni adhabu ila agency inaweza weka kipengele kwenye mkataba kwamba hautakiwi kuzaa kwa kipindi chote utakaofanya nao kazi.Alikuwa hot kwenye mambo ya modelling enzi za kina Michael Jackson.
Tatizo la hawa models huwa wanaona maisha yote ni Cat walk.
Wengi wanaunga unga sana hata kuzaa huwa wanaona kama ni adhabu.
Na wengi wao huwa wanaishia kupata complications sana kwenye masuala ya uzazi.Hawaoni adhabu ila agency inaweza weka kipengele kwenye mkataba kwamba hautakiwi kuzaa kwa kipindi chote utakaofanya nao kazi.
Kwahiyo maisha ya kingono kwa model wa kike yanakua yamezungukwa na kondomu, calendar na abortion.
Hapana bibi, wema ana 33.29 hajagonga 30 bado
[emoji16] kwa hiyo umri wake kama unaongezeka mwaka mmoja ndani ya miaka miwili ??!..28 again..29.. halafu 29 ..[emoji23][emoji23] mimi nina 32 na huyo nadhani kiumri ni dadangu.Kanizidi mmoja,yeye ni wa 1987 ...nakumbuka alijitangaza ivo kipindi cha umiss.Ila sikuhiz anajipunguza umri daily
Yeah,kakuzidi miwili[emoji16] kwa hiyo umri wake kama unaongezeka mwaka mmoja ndani ya miaka miwili ??!..28 again..29.. halafu 29 ..[emoji23][emoji23] mimi nina 32 na huyo nadhani kiumri ni dadangu.