Maisha hayana formula, rafiki yangu akiwa 52 hakua anajisikia vizuri. Wakati huo last born ameanza chuo, amekwenda kwa daktari anaambiwa ana ujauzito wa miezi mitano.Vipi na sisi tunaotegemea wake zetu wajifungulie Miembeni dispensary tunaruhusiwa kuwazalisha at 50?
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Du! Aisee kweli Mungu hapangiwi,chochote kinawezekanaMaisha hayana formula, rafiki yangu akiwa 52 hakua anajisikia vizuri. Wakati huo last born ameanza chuo, amekwenda kwa daktari anaambiwa ana ujauzito wa miezi mitano.
Anasema aliona aibu, kanisani yeye ni Mwenyekiti wa wanawake, analetewa matatizo ya ndoa za vijana sasa leo anaenda labour na vijana!
Alijifungua salama bila kisu.
QMaisha hayana formula, rafiki yangu akiwa 52 hakua anajisikia vizuri. Wakati huo last born ameanza chuo, amekwenda kwa daktari anaambiwa ana ujauzito wa miezi mitano.
Anasema aliona aibu, kanisani yeye ni Mwenyekiti wa wanawake, analetewa matatizo ya ndoa za vijana sasa leo anaenda labour na vijana!
Alijifungua salama bila kisu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]29 hajagonga 30 bado
Mungu wangu! [emoji848]are you serious??[emoji87][emoji24]eeh Mungu anaishi jamani[emoji119][emoji119]Maisha hayana formula, rafiki yangu akiwa 52 hakua anajisikia vizuri. Wakati huo last born ameanza chuo, amekwenda kwa daktari anaambiwa ana ujauzito wa miezi mitano.
Anasema aliona aibu, kanisani yeye ni Mwenyekiti wa wanawake, analetewa matatizo ya ndoa za vijana sasa leo anaenda labour na vijana!
Alijifungua salama bila kisu.
Wema Sepetu hajachelewa, iko siku na yeye atapata.