Kwa kifupi tu ni kwamba Morrison alijichanganya na tamaa za mikataba ya hapa na pale,ata yule Eng Ers aliwahi kusema pale Wasafi kwamba BM alimfuata akamwambia kwamba amepata tm yenye mkataba mnono hivyo anaomba avunje mkataba na hapo ndipo ugumu ulipo kuja akaanza mgomo wa kutosafiri na tm to Shinyanga kucheza na Mwadui,so hapa BM anajaribu kuukana mkataba wake wa halali na Yanga,sidhan kama this time atabakia salama,maana ata huko alikotoka ilikuwa n vurugu tu,Pale Orlando Pirates,Mara As Vita..kote huko aliacha Gumzo,na inavyoonekana akifika sehem anaanza vurugu ili mkataba uvunjwe ili awe free agent na apige pesa,BM anatumia ujanja wa watu wa A.Magharibi kupiga pesa.