Naona 99.9% Yanga anashinda dhidi ya Morrison

Kwanza kabisa me Ni mshabiki wa Simba nakiri hili lakini hapa sitachambua Kama mshabiki wa Simba Bali Kama mshabiki wa Soka.Kwa Hili sakata linaloendelea naona kabisa BM hatachomoka kwenye Hili sakata ukiangalia kwa makini utaona hili...
Weka hizo audio za mahojiano na wasafi na hiyo copy ya email,, au la tusubiri kesho.
 
vipi kuhusu simba waliosain mchezaji mwenye mkataba na timu nyingine, hawatapewa adhabu?
 
...ata yule Eng Ers aliwahi kusema pale Wasafi kwamba BM alimfuata akamwambia kwamba amepata tm yenye mkataba mnono hivyo anaomba avunje mkataba ...

Wakati BM alikuwa akihojiwa kwa njia ya simu na Wasafi FM kupitia kipindi Cha sports Arena hapo ikiwa hajaingia mgogoro na Yanga alikiri kabisa amesaini mkataba na Yanga
Ni kweli alihojiwa Wasafi ni Morison?
 
Muulize bale na zidane nani mshindi
 
Kuna mkataba wa kusema? Mimi sasa hivi nikisema ni mchezaji wa yanga je nitakuwa ni mchezaji wa yanga pasipo uthibitisho wa maandishi?
Kwahiyo kadanganya kusema amesaini yanga?
 
Naomba sana Morisson abaki Yanga ili asije akaivuruga zaidi Simba. Na akibaki Yanga huko psychologically hatakuwa poa maana vimigomo vitakuwa vingi.
 


Current Club is ...[emoji1][emoji1] Wikipedia wako mbio
 
Kumbuka ya Macherano na Liverpool. Mchezo wa mpira ni utashi zaidi ya mkataba. Vyombo cha mpira huangalia pande zote sio kulazimishana. Ukweli ni kuwa hata kama Yanga watapewa haki hawatakua na faida nayo sababu tayari kuna service conflict.
 
Shida ya Yanga navyoona si kumtaka Morrison kwa sababu mawasiliano yake na Yanga yashakufa teyali ila lengo Ni Kutaka kumkomoa Morrison sambamba na Simba.
 

Yanga acheni maneno meengi leo pelekeni waraka wa Mkataba keesi iishe fullstop!
 
Kumbuka ya Macherano na Liverpool. Mchezo wa mpira ni utashi zaidi ya mkataba. Vyombo cha mpira huangalia pande zote sio kulazimishana. Ukweli ni kuwa hata kama Yanga watapewa haki hawatakua na faida nayo sababu tayari kuna service conflict.
Lengo ya Yanga sio kumuhitaji Tena Morrison Bali tuthibitishia umma Wana mkataba wa halali na BM baada ya hapo watataka kumkomoa BM kwa kumpa benchi mechi zote au kupata fedha kwa kumuuza BM kwa team wanayotaka wao.
 
Kwan ukiweka tu hoja makini bila kuegemea upande wowote itakuaje? Kwa nn ujiseme wewe ni SIMBA AU YANGA? Ili iweje? Tubadilike ktk utoaji wa hoja na maoni yetu
Tatizo la hapa jukwaani ukiwa mada ikiwa imelalia upande mmoja watakutuhumu upo upande huo ndio maana nimewataazalisha mapema.
 
Soma hiyo Wikipedia mwanzo inaonyeshwa kazaliwa 20 may1988 na mwisho inasema 25 jan 1995. so taarifa za Bm ni za kihuni

Huyu jamaa ni mhuni sana asee yaani hapo kwanza wamnyang’anye hati ya kusafiria anaweza toroka saa yeyote
 
Mtoa mada sehemu gani umeona viongozi wa simba wamesema wamemsajili morrison?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…