Inasikitisha mnoNdugu inasikitisha sana, ifike mahali Wananchi tuanze mkakati wa kuwaondoa viongozi wote wajinga bila hivyo tutateseka kila siku
Hata sisi kama watanzania tunaona hautufai hamia burundiNaona aibu kujiita Mtanzania mbele ya Mataifa mengine kwasababu nchi yangu ina tatizo la umeme lisilokwisha zaidi ya miaka sitini. Naona aibu ya kujitambulisha kwasababu nitachekwa na nchi nyingine kuwa natoka nchi yenye matatizo yanayosababishwa na ujinga wa baadhi ya viongozi
Tatizo ni CCMNaona aibu kujiita Mtanzania mbele ya Mataifa mengine kwasababu nchi yangu ina tatizo la umeme lisilokwisha zaidi ya miaka sitini. Naona aibu ya kujitambulisha kwasababu nitachekwa na nchi nyingine kuwa natoka nchi yenye matatizo yanayosababishwa na ujinga wa baadhi ya viongozi
Nina uhakika kuwa leo hii ukapata uraia wa China, Japan au Marekani hutawahi kurudi hapa kwasababu changamoto zote zinazosumbua Tanzania hutakutana nazo tena. Tanzania tutafanikiwa pale tutakapopata viongozi wanaochukia ujingaTatizo ni CCM
Nina kipaji nimezaliwa nacho. Nimekuwa nashare na jamaa zangu kutoka nchi zilizoendelea kwani hapa ncbini wanahitaji mtu mwenye hofu ya CCM zaidi ya uzalenso na potentialsNina uhakika kuwa leo hii ukapata uraia wa China, Japan au Marekani hutawahi kurudi hapa kwasababu changamoto zote zinazosumbua Tanzania hutakutana nazo kule
Ukiondoa aibu ya kukosekana umeme kuna aibu hii nyingine ya kutaka starlink ya elon musk ili iweze kufanya TZ basi ifungue ofisi!Naona aibu kujiita Mtanzania mbele ya Mataifa mengine kwasababu nchi yangu ina tatizo la umeme lisilokwisha zaidi ya miaka sitini. Naona aibu ya kujitambulisha kwasababu nitachekwa na nchi nyingine kuwa natoka nchi yenye matatizo yanayosababishwa na ujinga wa baadhi ya viongozi
Huko uñaenda mbali mkuu ,hatq Uganda wanatushangaq ,tunakaaje na tatizo miaka yote hii Heri yetu sisi wa Kamachumu tunakula mema ya UgandaSipati picha China na Japan wakitutazama wanatufikiriaje, hivi kweli karne hii ya sisi kuhangaika na umeme wakati wao wanahangaika kuhamia sayari nyingine
Acha upuuzi mkuu,tatizo la umeme liloanza tangu enzi za Mkapa,unezaliwa lini?!Magu ndie aliyeweza
Waliuza majenereta hao.Acha upuuzi mkuu,tatizo la umeme liloanza tangu enzi za Mkapa,unezaliwa lini?!
Magu alikuwa n ngekewa hakukuwa na ukame,!Waliuza majenereta hao.
Angalau Magu Sio sana