Upatik an ji wa umeme Tanzania ,kama ilivyo Kilimo unategemea mvua ! Jambo la Hatari sana!Waliuza majenereta hao.
Angalau Magu Sio sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upatik an ji wa umeme Tanzania ,kama ilivyo Kilimo unategemea mvua ! Jambo la Hatari sana!Waliuza majenereta hao.
Angalau Magu Sio sana
Matumizi mabaya ya fikra hali bado vyanzo mbadala wakati hakuna mvuaUpatik an ji wa umeme Tanzania ,kama ilivyo Kilimo unategemea mvua ! Jambo la Hatari sana!
Tunashindwa kujua namna gani ya kutatua Mheshimiwa,Sasa mwanangu huko mataifa mengine na umeme wa hapa vinauhusiano kweli.
Nyie wasomi ndo mna dhamana ya kuisaidia serikali kutatua tatizo la umeme.
Nimependa ulivyoniita Mheshimiwa,Tunashindwa kujua namna gani ya kutatua Mheshimiwa,
Kuna tatizo kubwa hapa, ukijaribu kutatua matatizo wapo watu wanaojitokeza kupingana na wewe sijui Taifa letu lina laana ya mafanikio ama lah
Wanatuona manyaniTatizo ni CCM
Wakupokea maagizo toka kwa The Few Greed Elites.Huyu ni nani mpaka anyanyase Taifa
Yaani haijapata kutokea nchini, wananchi wakaanza vuguvugu la kuhamasishana kuikataa CCM muda mchache kabla ya uchaguzi.Wanatuona manyani
Kuna maana ya kuwa kiongozi na kuna maana ya kuitwa kiongozi sasa ni kuchaguwa yupo upande upi.hafu kiongozi yupo yupo tu kakaa kimya utasema hamna chochoteee
Zinakosa umaarufu pale viongozi wake wanapokosa mashiko kwa WananchiKama anavyosema mleta mada, ukitoka nje ya nchi, unawezadhani watu wanaijua nchi yetu na kila linaloendelea kama wewe unavyozijua nchi za watu hasa kubwakubwa.
Lakini ni kinyume, unakutana na mtu unamwambia we mtanzania, unakuta wala haijui hiyo Tanzania! na kama anaijua basi anaijua kwa jambo moja specific na hana jingine analolijua.
Yaani hizi nchi zetu sio popular kama mtu anavyoweza kudhani[emoji23]
Wanatuona kama wote tunaSipati picha China na Japan wakitutazama wanatufikiriaje, hivi kweli karne hii ya sisi kuhangaika na umeme wakati wao wanahangaika kuhamia sayari nyingine
Kuna sisi tulishaachana na hilo jina kitambo... Sisi tunajitambulisha kama WatanganyikaNaona aibu kujiita Mtanzania mbele ya Mataifa mengine kwasababu nchi yangu ina tatizo la umeme lisilokwisha zaidi ya miaka sitini. Naona aibu ya kujitambulisha kwasababu nitachekwa na nchi nyingine kuwa natoka nchi yenye matatizo yanayosababishwa na ujinga wa baadhi ya viongozi