Naona aibu kujiita Mtanzania

Naona aibu kujiita Mtanzania

Naona aibu kujiita Mtanzania mbele ya Mataifa mengine kwasababu nchi yangu ina tatizo la umeme lisilokwisha zaidi ya miaka sitini. Naona aibu ya kujitambulisha kwasababu nitachekwa na nchi nyingine kuwa natoka nchi yenye matatizo yanayosababishwa na ujinga wa baadhi ya viongozi
Hahahaha,mie mwenzio nimehamia upande wa mama 😂😂
 
Kuwa mtanzania asilimia 100 nahisi ni tatizo, walau kdg uchanganye utaifa inasaidia
 
Inasikitisha mno mtu anatoka nyumbani tena mkewe kampikia chai anawahi kwenda kukata umeme.
 
Back
Top Bottom