Naona aibu kutoa 10,000 kwa teller maana sina ATM card wala sim banking

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Game tafu sana Wakuu ikabidi nikumbuke nina kachenji uchafu kalibaki CRDB, ndio kwenda kuhakikisha balance nikaambiwa kuna 15800 sasa kibaya sina card ya ATM, ilipotea na hata sim banking line niliyosajilia siitumii ilipotea kwa hiyo option hapa ni kutoa kwa kutumia card ya NIDA kwa teller.

Nimejaza mpaka form ya kutoa ila naona nishai kwa sababu teller ni mrembo, nashindwa kwenda kifua mbele bila wasiwasi kutoa pesa yangu nikadake smart na ka mo energy.

8F5ECEFC-886C-464C-A6EF-8CC73BD752DF.jpeg
 
Aibu niliweka kando nikavaa sura ya mbuzi mbele ya mtoto mweupe maokoto yanaendelea ya plisner na kisungura baadae tunachamba koo kwa safari kubwa na ugali dagaa
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    1.2 MB · Views: 8
Ishi maisha yako bila kujali watu watakuonaje au watakuchukuliaje au kuwaonea aibu,

You are in this world to live your life not to impress others around you,
No one knows your journey better than yourself.
 
Na wewe baharia unaniangusha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nenda jifanye umekatiwa na hela ya mafuta njiani teh na umesahau wallet yenye ATM na hela [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanini aanze kujieleza, huoni atavuliwa vyeo kabisa

Aende ajiamini, atoe as if anatoa million yanii awe mkavuuu
 
Game tafu sana Wakuu ikabidi nikumbuke nina kachenji uchafu kalibaki CRDB, ndio kwenda kuhakikisha balance nikaambiwa kuna 15800 sasa kibaya sina card ya ATM, ilipotea na hata sim banking line niliyosajilia siitumii ilipotea kwa hiyo option hapa ni kutoa kwa kutumia card ya NIDA kwa teller.

Nimejaza mpaka form ya kutoa ila naona nishai kwa sababu teller ni mrembo, nashindwa kwenda kifua mbele bila wasiwasi kutoa pesa yangu nikadake smart na ka mo energy.

View attachment 2904818
Hata ingekua sh 3000. Mbona mimi sioni tatizo lolote naitoa tu, sijui wa Africa tuna tatizo gani
 
Game tafu sana Wakuu ikabidi nikumbuke nina kachenji uchafu kalibaki CRDB, ndio kwenda kuhakikisha balance nikaambiwa kuna 15800 sasa kibaya sina card ya ATM, ilipotea na hata sim banking line niliyosajilia siitumii ilipotea kwa hiyo option hapa ni kutoa kwa kutumia card ya NIDA kwa teller.

Nimejaza mpaka form ya kutoa ila naona nishai kwa sababu teller ni mrembo, nashindwa kwenda kifua mbele bila wasiwasi kutoa pesa yangu nikadake smart na ka mo energy.

View attachment 2904818
uoga na aibu yako ndio ndio umaskini wako🐒

ukitoa elfu 5 au iyo ten wengine inawahusu nini, wawe warembo ama vinginevyo 🐒

huko ni kung'ag'ana umaskini, huwezi fanya biashara wala kilimo kwa aibu hizo

R I P Laigwanan comrade ENL
 
Back
Top Bottom