Naona aibu kuuza maji barabarani nisaidieni

Asante sana bro bora umeingilia kati
 
Hayo ni mawazo yako pia lazima nizingatie demokrasia
 
Sina followers wala majority support
Hiyo political science ya udsm imekusaidia nini? Am not sure kama inafundisha kuwa wana siasa au vipi..
Lkn Nikuulize..wana siasa wote unaowajua walianza na followers au walianzia chini bila wafuasi?

Tatizo lako ni moja..unaogopa/hutaki kuanzisha jambo kuanzia chini that's y hata hiyo biashara ya maji unaona aibu.
Na utakaa hapo kwa shemeji yako mpaka yesu arudi.
 
Nakula kwa kaka sio shemeji maana anaetafuta pesa ni kaka angu
 
Mtoa Mada pole Sana Jaribu hata kua saidia fundi then uwe unaweka akiba kidogo kidogo baada ya mwezi uanzishe biashara ya maana
 
Kama hivi unavyoandika umemaliza Degree Mlimani basi ni halali chuo hicho kishuke hadhi yake kimataifa kwenye taaluma. Yaani wewe ulimaliza vipi hapo aisee?
Huu uandishi ni wa mtoto mdogo ambaye hajamaliza vidudu.
Sasa hapo tukusaidie jinsi ya kumchamba shemeji yako au tukusaidie namna ya kuuza maji?
Umeeleza mambo ya shemeji mengi kuliko la maji.
Toka kwa kaka yako kaishi pembeni huko. Kafanye biashara hata ya maji kwa kuanzia. Ila kwa akili yako hata maji hauwezi kuuza. Maji hayataki watu wajinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…