Naona Anguko la SIM Pesa

Na zile pimbi zinazosema umtumie pesa ili akuunge kwenye group lake umeone akiwa anajitia vidole

Nasema waendelee tu sis hatuna mpango nao
Ahahaha waendelee kujitia vidole wakifika kileleni walete mrejesho......
 
Hv kutoa Hela Kwa nmb wakala au crdb wakala nayo vp Kuna makato?
 
Miamala ikipungua na wenyewe wenye mitandao ya simu watashika adabu pia
 
Ndo Mheshimiwa anasema anajenga uchumi wa kati
Inashangaza Sana!!!
Naona mama anahujumiwa..
Nakumbuka mikakati yake kwenye kauli zake za mwanzo ilikuwa:-
  • kuongeza wigo wa walipa Kodi,
  • kutotumia nguvu katika kupata Kodi,
  • kuvutia wawekezaji.
Je, hili la tozo pamoja na figure zake linaongeza wigo wa walipa Kodi na kucutia wawekezaji?
Naamini mama bado yupo bize na ziara, akirudi atatengua..
 
Huu mchakato umeanzia kwake acha kusifia ubwege
Mbona haukupitishwa na kuanza kutumika wakati wake?
Waliouratibu waliogopa Nini Hadi kipindi hicho?
Je, mama amepangua mangapi ya Magufuli , Hadi hili limshinde??
Jiulize...
 
Huko waziri mwenye dhamana ya kutukandamiza anasema eti tutazoea
 
Wenye mitandao wanapiga saana,
Naona government imeshtuka ineamua kuweka chake vonstant na 18% yake kwa wayoa huduma.

Hapa watoa huduma wasiposhusha gharama itakula kwao maana watu wataapunguza sana kutumia simbanking. Ni muda kwao kujipanga na nadhan watabadilisha rates zao within 3months
 
Ninachofurahia wale wa bae tuma na ya kutolea inabidi waje magetoni na akishakuja ni "utatoa hutoi ?"🤣🤸‍♂️🐒
We nitumie bila ya kutolea, ghetto siji
 
Wabunge waanze kukatwa posho na wapunguziwe mshahara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…