To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Hapana wangu,tena camera imemmulika kwa muda mrefu sana....angalia tena marudioSiyo kuchat na kuongea na simu Madam?
😊😊
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana wangu,tena camera imemmulika kwa muda mrefu sana....angalia tena marudioSiyo kuchat na kuongea na simu Madam?
😊😊
Kweli Mkuu, naomba tu Spika asiongoze mjadala, maana huwa anaharibu sana kwa kujifanya kujua sana kuliko wabunge wote na ka-PhD uchwara kake ka sheria!Kesho ndio Wanaazimia
Ngoja tuone
Pengo la Chadema halijazibika!
Haya my dear, hiko kipengele naona kilinipita!Hapana wangu,tena camera imemmulika kwa muda mrefu sana....angalia tena marudio
hii tuiitaje,?
mgonjwa ameacha kukoroma au ndio ameanza kukoroma?
Yeah sureHaya my dear, hiko kipengele naona kilinipita!
Ngoja nifanye kuangalia tena mjadala mzima
Hatua nani achukue?Blah blah tu
Washajuwa wabongo mnapenda tintalila kusikiliza
Haya tusubirie kuona hatua wakataochukua
Ova
MkuuKwa kweli pasipo kupoteza muda, ninayo furaha ya dhati toka moyoni kwa hiki ambacho nimekiona kwa bunge la leo!
Yaani ni kama mgonjwa mahututi ambaye ghafla ameanza kupiga chafya!
Chafya ni dalili ya uhai.
Hongereni sana wabunge wote mliohusika kukemea vibaka walioko kwenye wizara mbalimbali ambao kazi yao ni kuiba na kuiba na kuiba tena!
Mh. Rais Samia Suluhu Hassan aliwaambia wajitathmini, lakini hadi sasa hatujaona mtendaji yeyote serikalini akijihudhuru au hata kuomba radhi tu kwa kile kilichotokea!
Wabunge naomba msiishie tu kutufurahisha wananchi wenu kwa maneno mazito mazito mnayoyasema huko, bali hakikisheni wahalifu wote wanachukuliwa hatua ili kuinusuru nchi yetu na hawa mchwa wanaokula kila kitu hadi vyuma wao wanakula tu!
Yote majizi huoni yanavyochekaHilo bunge ni furahisha genge, kama kweli wanajiamini wafanye azimio la bunge kuwatoa baadhi ya mawaziri. Kinyume na hapo ni maigizo kama kawaida.
Hii furaha yako utasikitika baada ya kugundua hakuna kitakachofanyka.Kwa kweli pasipo kupoteza muda, ninayo furaha ya dhati toka moyoni kwa hiki ambacho nimekiona kwa bunge la leo!
Yaani ni kama mgonjwa mahututi ambaye ghafla ameanza kupiga chafya!
Chafya ni dalili ya uhai.
Hongereni sana wabunge wote mliohusika kukemea vibaka walioko kwenye wizara mbalimbali ambao kazi yao ni kuiba na kuiba na kuiba tena!
Mh. Rais Samia Suluhu Hassan aliwaambia wajitathmini, lakini hadi sasa hatujaona mtendaji yeyote serikalini akijihudhuru au hata kuomba radhi tu kwa kile kilichotokea!
Wabunge naomba msiishie tu kutufurahisha wananchi wenu kwa maneno mazito mazito mnayoyasema huko, bali hakikisheni wahalifu wote wanachukuliwa hatua ili kuinusuru nchi yetu na hawa mchwa wanaokula kila kitu hadi vyuma wao wanakula tu!
Mkuu
Usihangaike na drama hizo
Tatizo lilianzia walipoiba uchaguzi. Haya ndi matokeo. Wanalindana, wataitana kwenye vikao kuwekwa sawa
Muda utaongea
Tufwile!Hii furaha yako utasikitika baada ya kugundua hakuna kitakachofanyka.
Nchi ngumu sana hiiMimi binafsi hao wabunge hawajanifurahisha Kwa sababu Wanalalamika badala ya kuchukua hatua na namna ya kuchukua hatua ni kuja na maazimia makali na wamueleze Waziri Mkuu kwamba kama Serikali haitatekeleza maazimio wasipitishe Bajeti ijayo Kwa sababu huu ni ujinga.
Angalia hapo Tabasamu anasema taarifa 3 za CAG hakuna walichofanya.
Ndio maana Kuna haja ya Wapinzani mana awangesha table Azimio la Kuta target wahusika kabisa ila Hawa wanapiga makelele yasiyo na msingi.
Mbaya zaidi mda wa kujadili hiyo taarifa ni mdogo na umewekwa mwezi wa 11 makusudi Ili Serikali ikatafute majibu ya kufunika Kombe ikiwemo kuhonga Baadhi ya Wabunge.
Mwisho mnufaika mkubwa wa wizi ni ccm na hivyo sitarajii chochote Cha maana sana sana wataitana kwenye Kamatia za Vyama vyao huko.
Kwangu mimi ni kama MAITI imepiga chafya.Yaani ni kama mgonjwa mahututi ambaye ghafla ameanza kupiga chafya!
Kwa mazingira kama hayo Kuna haja ya umuhimu wa Katiba Mpya ili kuwe na uhuru wa mihimili.Raisi ni sehemu ya bunge.. hawezi fanya chochote hayo ni maneno yakuwadanganya watu wenye uwezo mdogo wakufikiri kuwa anaweza akafanya jambo wakati yeye ni msomaji tuu wa script aliyeandikiwa...
CCM ni mfumo sio mtu mmoja
Lazima.maazimio yawe makali mojawapo ni kuleta bunge lijalo mswaada wa sheria ya kufilisi watu wanaothibitika,kuliko pesa kupoteza.Kesho ndio Wanaazimia
Ngoja tuone
Pengo la Chadema halijazibika!