Naona Bunge linapiga chafya

Blah blah tu

Washajuwa wabongo mnapenda tintalila kusikiliza

Haya tusubirie kuona hatua wakataochukua

Ova
Hatua nani achukue?
Hivi kweli mbunge anasimama anaongelea wizi wa mabilioni huku akitania tania na wengine kupiga meza na kucheka hapo usitegemee lolote
Hao hao wanaocheka ndio majizi
Kweli majitu yanapata mda wa kucheka
Hivi hayana damu haya
 
Mkuu
Usihangaike na drama hizo

Tatizo lilianzia walipoiba uchaguzi. Haya ndi matokeo. Wanalindana, wataitana kwenye vikao kuwekwa sawa

Muda utaongea
 
Mimi binafsi hao wabunge hawajanifurahisha Kwa sababu Wanalalamika badala ya kuchukua hatua na namna ya kuchukua hatua ni kuja na maazimia makali na wamueleze Waziri Mkuu kwamba kama Serikali haitatekeleza maazimio wasipitishe Bajeti ijayo Kwa sababu huu ni ujinga.

Angalia hapo Tabasamu anasema taarifa 3 za CAG hakuna walichofanya.

Ndio maana Kuna haja ya Wapinzani mana awangesha table Azimio la Kuta target wahusika kabisa ila Hawa wanapiga makelele yasiyo na msingi.

Mbaya zaidi mda wa kujadili hiyo taarifa ni mdogo na umewekwa mwezi wa 11 makusudi Ili Serikali ikatafute majibu ya kufunika Kombe ikiwemo kuhonga Baadhi ya Wabunge.

Mwisho mnufaika mkubwa wa wizi ni ccm na hivyo sitarajii chochote Cha maana sana sana wataitana kwenye Kamatia za Vyama vyao huko.
 
Hii furaha yako utasikitika baada ya kugundua hakuna kitakachofanyka.
 
Nchi ngumu sana hii
 
Hivi ile mahakama ya mafisadi mpaka leo imeshindwa kumkuta na hatia fisadi hata mmoja ili afungwe bila faini na atleast akutane na nyapara ambaye atahakikisha huyo mwizi wa fedha za wananchi anapata kipara kwa kutumia chupa?
 
Raisi ni sehemu ya bunge.. hawezi fanya chochote hayo ni maneno yakuwadanganya watu wenye uwezo mdogo wakufikiri kuwa anaweza akafanya jambo wakati yeye ni msomaji tuu wa script aliyeandikiwa...

CCM ni mfumo sio mtu mmoja
Kwa mazingira kama hayo Kuna haja ya umuhimu wa Katiba Mpya ili kuwe na uhuru wa mihimili.

Kinacholeta shida Wanalalamika hapa ni Kwa kuwa hawana meno ya kutosha wako kwenye kwapa la Serikali na chama.

Huyu Jamaa anachoongea hapa kamba next Bunge kama hakuna Hatua zilizochukuliwa Kwa mujibu wa Azimio la Bunge kusiwe na haja ya kuendelea na Bunge,Wabunge wakubali hii hoja itasaidia.

View: https://youtu.be/Twiel5kRh6s?si=YIORk8JgaPGIsVgE
 
Hivi Mwigulu anaumwa Nini ? ndugu yetu yule.
 
Kesho ndio Wanaazimia

Ngoja tuone

Pengo la Chadema halijazibika!
Lazima.maazimio yawe makali mojawapo ni kuleta bunge lijalo mswaada wa sheria ya kufilisi watu wanaothibitika,kuliko pesa kupoteza.

Pili Wawaondoe Tamisemo kwenye kukusanya mapato Bora wafanye TRA

Tatu Wawape Wakuu wa Mikoa/Mawaziri mamlaka ya kuwawajibisha watu kuanzia Wakurugenzi bila kumsubiria Waziri japo inashangaza maana Madiwani wanaweza mkataa DED lakini Huwa wanahongwa vijisenti mambo yanaenda.

Mwisho CAG akague miradi yote na ikibidi awe na wajibu wa Kuzuia badala ya kukagua tuu.

Harafu anaejua kazi ya Takukuru niipi kama haya yote yanatokea na wao wapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…