PostGE2025 Naona damu ya Polepole imeanza kuwalilia, na itawatesa sana hamtakaa mpate raha

PostGE2025 Naona damu ya Polepole imeanza kuwalilia, na itawatesa sana hamtakaa mpate raha

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Mambo yameanza kuchangamka!

Damu ya Polepole imeanza kuwalilia, sasa hivihivi mnajing'ata ndimi mnajikuta mnalitaja jina lake. Wakati ukifika mtatueleza tu mlimuweka wapi Polepole na mlifanya nini na mtajibia hiyo hukumu


 
Huyu ni mtu au nini hiki? Kwanini Erick shigongo ametikisa kichwa hapo aliposema MC polepole?
 
Serikali ya Samia ina akili ndogo, walikuwa wanafikiri kuwapoteza wanaharakati ni suluhisho. Kila mkipoteza mwanaharakati M/Mungu anaibuwa wanaarakati wengine hatari zaidi ya wale mliowapoteza
 
Serikali ya Samia ina akili ndogo, walikuwa wanafikiri kuwapoteza wanaharakati ni suluhisho. Kila mkipoteza mwanaharakati M/Mungu anaibuwa wanaarakati wengine hatari zaidi ya wale mliowapoteza
Pengine haina hata akili ndogo. Wangekuwa na akili ndogo at least wangejua wazo (an idea) haliuawi kwa risasi.
 
Back
Top Bottom