tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Lazima apagawe kutemwa si mchezo.Mambo yameanza kuchangamka!
Damu ya Polepole imeanza kuwalilia, sasa hivihivi mnajing'ata ndimi mnajikuta mnalitaja jina lake. Wakati ukifika mtatueleza tu mlimuweka wapi Polepole na mlifanya nini na mtajibia hiyo hukumu
View attachment 3505843
Pengine haina hata akili ndogo. Wangekuwa na akili ndogo at least wangejua wazo (an idea) haliuawi kwa risasi.Serikali ya Samia ina akili ndogo, walikuwa wanafikiri kuwapoteza wanaharakati ni suluhisho. Kila mkipoteza mwanaharakati M/Mungu anaibuwa wanaarakati wengine hatari zaidi ya wale mliowapoteza