Kocha wa Yanga aoneshe ukubwa wake hapo sio kuja kuwafunga JKT pekee apange kikosi kizuri kutokana na kuwasoma wapinzani maana wao wametusoma sana na awe na nidhamu ya haya mashindano asiache wachezaji wote wanapanda kushambulia kama wapo na Ihefu atakuja kulia...