Naona Fiston Mayele akiwatoa Al Hilal nyumbani kwao

Naona Fiston Mayele akiwatoa Al Hilal nyumbani kwao

Mtabakwa tuuu hata kwa mbinde[emoji2957][emoji2957]
 
Yanga bhana !!

JamiiForums1128872776_720x720.jpg
 
Kocha wa Yanga aoneshe ukubwa wake hapo sio kuja kuwafunga JKT pekee apange kikosi kizuri kutokana na kuwasoma wapinzani maana wao wametusoma sana na awe na nidhamu ya haya mashindano asiache wachezaji wote wanapanda kushambulia kama wapo na Ihefu atakuja kulia...
 
Back
Top Bottom