PreGE2025 Naona Giza nene CHADEMA wakisusia uchaguzi wa 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Boeing787-8

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2018
Posts
1,202
Reaction score
1,296
Katika maisha ukifanya kitu chochote kiwe kizuri au kibaya jua kutakuwa na consequences. CCM waliiba kishamba yaani kishamba uchaguzi wa 2019,2020 afu wakarudia the same mistake 2024. Kwa uporaji wa kura uliofanyika CCM hawakutegemea mbeleni kutakuwa na consequences. Sasa wanavuna walichokipanda. Nani wa kupoteza muda eti anagombea ubunge na urais kupitia Chadema Kwa mazingira haya ya Rushwa? na upendeleo?

Ni dhahiri Kwa misimamo ya Lissu na heche hawataleta timu uwanjani. Yafatayo ni matokeo ya Chadema kususia uchaguzi.

1. Uchaguzi utadorora haijapata kutokea, kampeini zitakuwa hazina vibes, Samia atakuwa anazunguka mwenyewe na kushindana na kina Dovutwa.

2. Lissu kweli amejipanga kuzui uchaguzi, Dora haitomuacha so ataswekwa lumande na wafuasi wao, je ni afya kwa Samia na nchi kuendesha uchaguzi uku viongozi wa upinzani wakiwa gerezani?

3. Very very low voter turnout, Chadema wakisusia watu wengi hawatopiga kura, hii ni pigo Kwa CCM maana watu wakija kupiga kura Kwa wengi, ata ukichakachua jamii ya kimataifa wataamini kuwa umeshindaje Kwa idadi nzur ya kura, km turnout ni ndogo itakuwa aibu Kwa CCM

Kuna Giza kubwa mno linakuja, ila hii movement ya kutaka mabadiriko ya kuendesha uchaguzi haitazimwa Wala kufa kirahisi, ni movement kama ya MAGA, uko USA. CCM vuneni mlichokipanda
 
Ndo maana sinaga kitambulisho cha kura, Kwa sababu kura yangu inaitwa Kula na Sisiemu sipendi wanavyobadilisha r kuwa l.
 
Kama Giza unaliona leo CHADEMA ililiona Giza Toka chaguzi za magufuli ila mpaka leo IPO.
 
Katika maisha ukifanya kitu chochote kiwe kizuri au kibaya jua kutakuwa na consequences. CCM waliiba kishamba yaani kishamba uchaguzi wa 2019,2020 afu wakarudia the same mistake 2024. Kwa uporaji wa kura uliofanyika CCM hawakutegemea mbeleni kutakuwa na consequences. Sasa wanavuna walichokipanda. Nani wa kupoteza muda eti anagombea ubunge na urais kupitia Chadema Kwa mazingira haya ya Rushwa? na upendeleo?

Ni dhahiri Kwa misimamo ya Lissu na heche hawataleta timu uwanjani. Yafatayo ni matokeo ya Chadema kususia uchaguzi.

1. Uchaguzi utadorora haijapata kutokea, kampeini zitakuwa hazina vibes, Samia atakuwa anazunguka mwenyewe na kushindana na kina Dovutwa.

2. Lissu kweli amejipanga kuzui uchaguzi, Dora haitomuacha so ataswekwa lumande na wafuasi wao, je ni afya kwa Samia na nchi kuendesha uchaguzi uku viongozi wa upinzani wakiwa gerezani?

3. Very very low voter turnout, Chadema wakisusia watu wengi hawatopiga kura, hii ni pigo Kwa CCM maana watu wakija kupiga kura Kwa wengi, ata ukichakachua jamii ya kimataifa wataamini kuwa umeshindaje Kwa idadi nzur ya kura, km turnout ni ndogo itakuwa aibu Kwa CCM

Kuna Giza kubwa mno linakuja, ila hii movement ya kutaka mabadiriko ya kuendesha uchaguzi haitazimwa Wala kufa kirahisi, ni movement kama ya MAGA, uko USA. CCM vuneni mlichokipanda
Wasusie uchaguzi watakula nini!!?
 
Hakuna mwenyewe jeuri ya kususia uchaguzi

Lema na Lissu wake zao wapo ughaibuni wanaingiza vipato murwa kabisa vya ukimbizi hizo takataka zingine akina pambadu , sosoipu, Nk

Miaka 5 ijayo hawana ruzuku wanategemea Tone la Tone h
 
Dharau hizo ndo ziliwangoa KANU
 
Katika maisha ukifanya kitu chochote kiwe kizuri au kibaya jua kutakuwa na consequences. CCM waliiba kishamba yaani kishamba uchaguzi wa 2019,2020 afu wakarudia the same mistake 2024. Kwa uporaji wa kura uliofanyika CCM hawakutegemea mbeleni kutakuwa na consequences. Sasa wanavuna walichokipanda. Nani wa kupoteza muda eti anagombea ubunge na urais kupitia Chadema Kwa mazingira haya ya Rushwa? na upendeleo?

Ni dhahiri Kwa misimamo ya Lissu na heche hawataleta timu uwanjani. Yafatayo ni matokeo ya Chadema kususia uchaguzi.

1. Uchaguzi utadorora haijapata kutokea, kampeini zitakuwa hazina vibes, Samia atakuwa anazunguka mwenyewe na kushindana na kina Dovutwa.

2. Lissu kweli amejipanga kuzui uchaguzi, Dora haitomuacha so ataswekwa lumande na wafuasi wao, je ni afya kwa Samia na nchi kuendesha uchaguzi uku viongozi wa upinzani wakiwa gerezani?

3. Very very low voter turnout, Chadema wakisusia watu wengi hawatopiga kura, hii ni pigo Kwa CCM maana watu wakija kupiga kura Kwa wengi, ata ukichakachua jamii ya kimataifa wataamini kuwa umeshindaje Kwa idadi nzur ya kura, km turnout ni ndogo itakuwa aibu Kwa CCM

Kuna Giza kubwa mno linakuja, ila hii movement ya kutaka mabadiriko ya kuendesha uchaguzi haitazimwa Wala kufa kirahisi, ni movement kama ya MAGA, uko USA. CCM vuneni mlichokipanda
Hakuna giza lolote,acha Wazire

Chama kimoja kati ya vyama 18 kijitoe ndio kuwepo na giza?

Vyama 17 vikishiriki inatosha
 
Hawa ni furahisha genge, You Know 😂
 
Hakuna giza lolote,acha Wazire

Chama kimoja kati ya vyama 18 kijitoe ndio kuwepo na giza?

Vyama 17 vikishiriki inatosha
Nimecheka vibaya, ukisikiliza idadi ya vyama unaweza kudhani uwiano wa wapiga kura ni hivyo vyama 18, kumbe vyama vyenye wapiga kura wa maana ni wawili tu hapo. Ukiweza taja hivyo vyama 18 hapa kwenyw hiyo list yako, kisha pita mtaani waulize wakutajie vyama uone utatajiwa vyama vingapi.
 
Nimecheka vibaya, ukisikiliza idadi ya vyama unaweza kudhani uwiano wa wapiga kura ni hivyo vyama 18, kumbe vyama vyenye wapiga kura wa maana ni wawili tu hapo.
wasiposhiriki kura zote anachukua Ccm,Act inafuatia na kuwa chama cha upinzani bungeni

Cdm itabaki haina diwani wala mbunge,wasubiri tena 2030
 
Cdm haitaki kuwa chama kikuu cha upinzani ACT na CUF labda ndio wanahitaji sifa hiyo ya hisani. Mtu mjinga tu ndio anaweza kufurahia hisani, wakati anaweza kupata zaidi kwa haki.
 
Katika maisha ukifanya kitu chochote kiwe kizuri au kibaya jua kutakuwa na consequences. CCM waliiba kishamba yaani kishamba uchaguzi wa 2019,2020 afu wakarudia the same mistake 2024. Kwa uporaji wa kura uliofanyika CCM hawakutegemea mbeleni kutakuwa na consequences. Sasa wanavuna walichokipanda. Nani wa kupoteza muda eti anagombea ubunge na urais kupitia Chadema Kwa mazingira haya ya Rushwa? na upendeleo?

Ni dhahiri Kwa misimamo ya Lissu na heche hawataleta timu uwanjani. Yafatayo ni matokeo ya Chadema kususia uchaguzi.

1. Uchaguzi utadorora haijapata kutokea, kampeini zitakuwa hazina vibes, Samia atakuwa anazunguka mwenyewe na kushindana na kina Dovutwa.

2. Lissu kweli amejipanga kuzui uchaguzi, Dora haitomuacha so ataswekwa lumande na wafuasi wao, je ni afya kwa Samia na nchi kuendesha uchaguzi uku viongozi wa upinzani wakiwa gerezani?

3. Very very low voter turnout, Chadema wakisusia watu wengi hawatopiga kura, hii ni pigo Kwa CCM maana watu wakija kupiga kura Kwa wengi, ata ukichakachua jamii ya kimataifa wataamini kuwa umeshindaje Kwa idadi nzur ya kura, km turnout ni ndogo itakuwa aibu Kwa CCM

Kuna Giza kubwa mno linakuja, ila hii movement ya kutaka mabadiriko ya kuendesha uchaguzi haitazimwa Wala kufa kirahisi, ni movement kama ya MAGA, uko USA. CCM vuneni mlichokipanda
Lissu ni Tundu tu hawezi kuzuia uchaguzi wowote. Acheni kusikia mambo ya mropokaji
 
Back
Top Bottom