PreGE2025 Naona Giza nene CHADEMA wakisusia uchaguzi wa 2025

PreGE2025 Naona Giza nene CHADEMA wakisusia uchaguzi wa 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hakuna giza lolote,acha Wazire

Chama kimoja kati ya vyama 18 kijitoe ndio kuwepo na giza?

Vyama 17 vikishiriki inatosha
Mtaiba kura zenu ccm muwape hivyo vyama? ~ Hakuna timu inaingia uwanjani labda ccm pekee hivyo vingine utaniambia nimekaa pale.
 
Maombi na dua zangu wasusie hakuna tabu, kwani tunavyo vyama vingine 13 hakuna tabu yoyote, eee mola na wasusie!..
--HAKUNA CHA MAREKIBISHO WALA LOLOTE TENA, KWANI REFORM IMEKWISHA FANYIKA.
 
Katika maisha ukifanya kitu chochote kiwe kizuri au kibaya jua kutakuwa na consequences. CCM waliiba kishamba yaani kishamba uchaguzi wa 2019,2020 afu wakarudia the same mistake 2024. Kwa uporaji wa kura uliofanyika CCM hawakutegemea mbeleni kutakuwa na consequences. Sasa wanavuna walichokipanda. Nani wa kupoteza muda eti anagombea ubunge na urais kupitia Chadema Kwa mazingira haya ya Rushwa? na upendeleo?

Ni dhahiri Kwa misimamo ya Lissu na heche hawataleta timu uwanjani. Yafatayo ni matokeo ya Chadema kususia uchaguzi.

1. Uchaguzi utadorora haijapata kutokea, kampeini zitakuwa hazina vibes, Samia atakuwa anazunguka mwenyewe na kushindana na kina Dovutwa.

2. Lissu kweli amejipanga kuzui uchaguzi, Dora haitomuacha so ataswekwa lumande na wafuasi wao, je ni afya kwa Samia na nchi kuendesha uchaguzi uku viongozi wa upinzani wakiwa gerezani?

3. Very very low voter turnout, Chadema wakisusia watu wengi hawatopiga kura, hii ni pigo Kwa CCM maana watu wakija kupiga kura Kwa wengi, ata ukichakachua jamii ya kimataifa wataamini kuwa umeshindaje Kwa idadi nzur ya kura, km turnout ni ndogo itakuwa aibu Kwa CCM

Kuna Giza kubwa mno linakuja, ila hii movement ya kutaka mabadiriko ya kuendesha uchaguzi haitazimwa Wala kufa kirahisi, ni movement kama ya MAGA, uko USA. CCM vuneni mlichokipanda
Tukiwa wakweli hakuna namna, mtu, watu wa kuzuha uchaguzi Tanzania. Wananchi hawatatoka kwenye maandamano kama maandanonya ukaea, Mange, kumtoa Mbowe gerezani, yale ya Mbowe na mtoto wake.

Kwanza Lissu, Lema watakamatwa na CCM na kuwekwa ndani hadi uchaguzi upite kwa kauli zao na kisingizio cha wao kutaka kuzuia uchaguzi , kuzuia nchi kutekeleza matakwa ya katiba.

Ni bora ukamatwe na ukawekwa ndani ukiwa vitani, uwanjani unapambana kupata ubunge, urais, udiwani kuliko kukamatwa ukihamamisha utakinukisha uko nje ya uwanja wa mpira.
 
Back
Top Bottom