Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 1,202
- 1,296
Wasusie uchaguzi watakula nini!!?Katika maisha ukifanya kitu chochote kiwe kizuri au kibaya jua kutakuwa na consequences. CCM waliiba kishamba yaani kishamba uchaguzi wa 2019,2020 afu wakarudia the same mistake 2024. Kwa uporaji wa kura uliofanyika CCM hawakutegemea mbeleni kutakuwa na consequences. Sasa wanavuna walichokipanda. Nani wa kupoteza muda eti anagombea ubunge na urais kupitia Chadema Kwa mazingira haya ya Rushwa? na upendeleo?
Ni dhahiri Kwa misimamo ya Lissu na heche hawataleta timu uwanjani. Yafatayo ni matokeo ya Chadema kususia uchaguzi.
1. Uchaguzi utadorora haijapata kutokea, kampeini zitakuwa hazina vibes, Samia atakuwa anazunguka mwenyewe na kushindana na kina Dovutwa.
2. Lissu kweli amejipanga kuzui uchaguzi, Dora haitomuacha so ataswekwa lumande na wafuasi wao, je ni afya kwa Samia na nchi kuendesha uchaguzi uku viongozi wa upinzani wakiwa gerezani?
3. Very very low voter turnout, Chadema wakisusia watu wengi hawatopiga kura, hii ni pigo Kwa CCM maana watu wakija kupiga kura Kwa wengi, ata ukichakachua jamii ya kimataifa wataamini kuwa umeshindaje Kwa idadi nzur ya kura, km turnout ni ndogo itakuwa aibu Kwa CCM
Kuna Giza kubwa mno linakuja, ila hii movement ya kutaka mabadiriko ya kuendesha uchaguzi haitazimwa Wala kufa kirahisi, ni movement kama ya MAGA, uko USA. CCM vuneni mlichokipanda
Dharau hizo ndo ziliwangoa KANUHakuna mwenyewe jeuri ya kususia uchaguzi
Lema na Lissu wake zao wapo ughaibuni wanaingiza vipato murwa kabisa vya ukimbizi hizo takataka zingine akina pambadu , sosoipu, Nk
Miaka 5 ijayo hawana ruzuku wanategemea Tone la Tone h
Sahivi wanakula Nini, kwamba mbunge mmoja walie nae ndo anawalishaWasusie uchaguzi watakula nini!!?
Sema duuHakuna wa kususia uchaguzi
Wasusie uchaguzi watakula nini!!?
Hakuna giza lolote,acha WazireKatika maisha ukifanya kitu chochote kiwe kizuri au kibaya jua kutakuwa na consequences. CCM waliiba kishamba yaani kishamba uchaguzi wa 2019,2020 afu wakarudia the same mistake 2024. Kwa uporaji wa kura uliofanyika CCM hawakutegemea mbeleni kutakuwa na consequences. Sasa wanavuna walichokipanda. Nani wa kupoteza muda eti anagombea ubunge na urais kupitia Chadema Kwa mazingira haya ya Rushwa? na upendeleo?
Ni dhahiri Kwa misimamo ya Lissu na heche hawataleta timu uwanjani. Yafatayo ni matokeo ya Chadema kususia uchaguzi.
1. Uchaguzi utadorora haijapata kutokea, kampeini zitakuwa hazina vibes, Samia atakuwa anazunguka mwenyewe na kushindana na kina Dovutwa.
2. Lissu kweli amejipanga kuzui uchaguzi, Dora haitomuacha so ataswekwa lumande na wafuasi wao, je ni afya kwa Samia na nchi kuendesha uchaguzi uku viongozi wa upinzani wakiwa gerezani?
3. Very very low voter turnout, Chadema wakisusia watu wengi hawatopiga kura, hii ni pigo Kwa CCM maana watu wakija kupiga kura Kwa wengi, ata ukichakachua jamii ya kimataifa wataamini kuwa umeshindaje Kwa idadi nzur ya kura, km turnout ni ndogo itakuwa aibu Kwa CCM
Kuna Giza kubwa mno linakuja, ila hii movement ya kutaka mabadiriko ya kuendesha uchaguzi haitazimwa Wala kufa kirahisi, ni movement kama ya MAGA, uko USA. CCM vuneni mlichokipanda
Hawa ni furahisha genge, You Know 😂Katika maisha ukifanya kitu chochote kiwe kizuri au kibaya jua kutakuwa na consequences. CCM waliiba kishamba yaani kishamba uchaguzi wa 2019,2020 afu wakarudia the same mistake 2024. Kwa uporaji wa kura uliofanyika CCM hawakutegemea mbeleni kutakuwa na consequences. Sasa wanavuna walichokipanda. Nani wa kupoteza muda eti anagombea ubunge na urais kupitia Chadema Kwa mazingira haya ya Rushwa? na upendeleo?
Ni dhahiri Kwa misimamo ya Lissu na heche hawataleta timu uwanjani. Yafatayo ni matokeo ya Chadema kususia uchaguzi.
1. Uchaguzi utadorora haijapata kutokea, kampeini zitakuwa hazina vibes, Samia atakuwa anazunguka mwenyewe na kushindana na kina Dovutwa.
2. Lissu kweli amejipanga kuzui uchaguzi, Dora haitomuacha so ataswekwa lumande na wafuasi wao, je ni afya kwa Samia na nchi kuendesha uchaguzi uku viongozi wa upinzani wakiwa gerezani?
3. Very very low voter turnout, Chadema wakisusia watu wengi hawatopiga kura, hii ni pigo Kwa CCM maana watu wakija kupiga kura Kwa wengi, ata ukichakachua jamii ya kimataifa wataamini kuwa umeshindaje Kwa idadi nzur ya kura, km turnout ni ndogo itakuwa aibu Kwa CCM
Kuna Giza kubwa mno linakuja, ila hii movement ya kutaka mabadiriko ya kuendesha uchaguzi haitazimwa Wala kufa kirahisi, ni movement kama ya MAGA, uko USA. CCM vuneni mlichokipanda
Nimecheka vibaya, ukisikiliza idadi ya vyama unaweza kudhani uwiano wa wapiga kura ni hivyo vyama 18, kumbe vyama vyenye wapiga kura wa maana ni wawili tu hapo. Ukiweza taja hivyo vyama 18 hapa kwenyw hiyo list yako, kisha pita mtaani waulize wakutajie vyama uone utatajiwa vyama vingapi.Hakuna giza lolote,acha Wazire
Chama kimoja kati ya vyama 18 kijitoe ndio kuwepo na giza?
Vyama 17 vikishiriki inatosha
Ccm sio Kanu ndgDharau hizo ndo ziliwangoa KANU
wasiposhiriki kura zote anachukua Ccm,Act inafuatia na kuwa chama cha upinzani bungeniNimecheka vibaya, ukisikiliza idadi ya vyama unaweza kudhani uwiano wa wapiga kura ni hivyo vyama 18, kumbe vyama vyenye wapiga kura wa maana ni wawili tu hapo.
Cdm haitaki kuwa chama kikuu cha upinzani ACT na CUF labda ndio wanahitaji sifa hiyo ya hisani. Mtu mjinga tu ndio anaweza kufurahia hisani, wakati anaweza kupata zaidi kwa haki.wasiposhiriki kura zote anachukua Ccm,Act inafuatia na kuwa chama cha upinzani bungeni
Cdm itabaki haina diwani wala mbunge,wasubiri tena 2030
No reforms No ElectionUtapiga kura?
Lissu ni Tundu tu hawezi kuzuia uchaguzi wowote. Acheni kusikia mambo ya mropokajiKatika maisha ukifanya kitu chochote kiwe kizuri au kibaya jua kutakuwa na consequences. CCM waliiba kishamba yaani kishamba uchaguzi wa 2019,2020 afu wakarudia the same mistake 2024. Kwa uporaji wa kura uliofanyika CCM hawakutegemea mbeleni kutakuwa na consequences. Sasa wanavuna walichokipanda. Nani wa kupoteza muda eti anagombea ubunge na urais kupitia Chadema Kwa mazingira haya ya Rushwa? na upendeleo?