PreGE2025 Naona Giza nene CHADEMA wakisusia uchaguzi wa 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hakuna giza lolote,acha Wazire

Chama kimoja kati ya vyama 18 kijitoe ndio kuwepo na giza?

Vyama 17 vikishiriki inatosha
Mtaiba kura zenu ccm muwape hivyo vyama? ~ Hakuna timu inaingia uwanjani labda ccm pekee hivyo vingine utaniambia nimekaa pale.
 
Maombi na dua zangu wasusie hakuna tabu, kwani tunavyo vyama vingine 13 hakuna tabu yoyote, eee mola na wasusie!..
--HAKUNA CHA MAREKIBISHO WALA LOLOTE TENA, KWANI REFORM IMEKWISHA FANYIKA.
 
Tukiwa wakweli hakuna namna, mtu, watu wa kuzuha uchaguzi Tanzania. Wananchi hawatatoka kwenye maandamano kama maandanonya ukaea, Mange, kumtoa Mbowe gerezani, yale ya Mbowe na mtoto wake.

Kwanza Lissu, Lema watakamatwa na CCM na kuwekwa ndani hadi uchaguzi upite kwa kauli zao na kisingizio cha wao kutaka kuzuia uchaguzi , kuzuia nchi kutekeleza matakwa ya katiba.

Ni bora ukamatwe na ukawekwa ndani ukiwa vitani, uwanjani unapambana kupata ubunge, urais, udiwani kuliko kukamatwa ukihamamisha utakinukisha uko nje ya uwanja wa mpira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…