Tafuta connection kilio hakitakusaidia.Hukusikia kwamba Kalemani, Mwendazake nk walikuwa wanaweka ndugu zao maofisini?
Hujawahi msikia Mwendazake akiapisha Katibu Mkuu fulani akisema wanakuonea wivu kwa kusema unaleta ndugu zako?
Hakunaga Kazi za bila connection labda uwe exceptional.Hata hivyo ni Tzn pekee ambako watu wanakimbilia Kazi za jeshi 😆😆