M.Rutabo
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 1,031
- 2,647
Sina uhakika ila kila nikiwaza naona kama matrix inaegemea kwa Makamba Junior.
JK, Luten Makamba na Luten Nauye wazazi wa Ridhiwan, January na Nape. Wazazi wamekuwa wote pale Chuo cha Jeshi Monduli na Mzee Kinana.
January personal secretary wa Rais Jakaya, mbio za Urais 2015 kaingia tatu bora CCM.
2015 baada ya uchaguzi January, Nape wanakuwa mawaziri chini ya Hayati Magufuli ghafla wanatenguliwa uwaziri.
Kumbuka umri hausimami, unaenda, wote wanakaribia miaka 50. Wazee wao hawana uhakika kama watakuwepo kwa miaka mingine mitano mbele. January kahamishiwa Wizara ya Mambo ya Nje ili kupikwa, kumbuka ndio wizara iliyomtoa Rais kikwete.
Hakuna mzazi anayependa kumrithisha mtoto wake njaa.
January for president ili kuwalinda ndugu zake Nape na Ridhiwani.
What if ikaja kuwa kweli?
