Naona January kama ndiye Rais anayefuata hivi!

Naona January kama ndiye Rais anayefuata hivi!

Sina wakika ila kila nikiwaza naona kama matrix inaegemea kwa nakamba juniors.

Jk, Luten Makamba na Luten Nauye wazazi wa Ridhiwan, January na Nape.

Wazazi wote Wamekuwa wote pale chuo cha jeshi monduli na Mzee Kinana.

January personal secretary wa rais Jakaya, mbio za urais 2015 kaingia tatu bora CCM.

2015 baada ya uchaguzi January, Nape wanakuwa mawaziri chini ya Hayati Magufuli ghafla wanatenguliwa uwaziri.

Kumbuka Umri ausimami unaenda wote wanakalibia miaka 50 Wazee wao hawala wakika kama watakuwepo kwa miaka mingine mitano mbele. January kaamishiwa wizara ya mambo ya nje ili kupikwa kumbuka ndo wizara iliyomutoa Rais kikwete.

Hakuna mzazi anayependa kumlisisha mtoto wake njaa. January for president ili kuwalinda ndugu zake nape na ridhiwani. What if ikaja kuwa kweli?
Labda December sio January
 
Kwanza hujui hata unachoandika

January Makamba,mbio za urais 2015 aliishia 5 bora na wala siyo tatu bora! Tatu bora alikua
1. Dkt John Pombe Joseph Magufuli
2. Dkt Asha Rose Migiro
3. Balozi Amina Ally!

Pia Mzee Moses Nauye alikua na cheo cha Brigedia hadi mauti yake na wala siyo Luteni!
 
Kwa haraka haraka hakuna wa kushindana na January.
January ana Sapoti na Baraka zote za kuwa Raisi.
Kwa sasa.
 
uwezo wake wa kuongoza ni mdogo.ila kihesabu za kisiasa Marope yupo karibu kabisa na mlango wa Ikulu.
unajua Msoga ndio Tony Kroos wa CCM kwa sasa.
na ule utatu wa Monduli bado upo:
Msoga.
Wazuri hawafi.
mzee Msomali kipara.
 
January for president ili kuwalinda ndugu zake Nape na Ridhiwani.

What if ikaja kuwa kweli?
Hii ikija kuwa kweli ni kwasababu JM is the best na sio kwasababu ya kuwalinda Nape na Riz1!.
Kwenye lineup yangu ya presidential material, JM is the top best sio kumpokea Samia, bali kuimalizia ngwe yake ya pili ya 2025-2030.

Kwa 2030, JM na CCM will be tested kwasababu watu kama ZZK watatupa karata zao kama nilivyo eleza hapa. Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
P
 
Back
Top Bottom