Naona January kama ndiye Rais anayefuata hivi!

Naona January kama ndiye Rais anayefuata hivi!

IMG-20240721-WA0262(1).jpg
 
January akiwa rais nahama nchi wallahi.
Maana nahisi kipindi chake Tanzania ndio itakua inapitia laana ambayo haijawahi kupitia.
Prof Wole Soyinka aliahidi kurudisha Green Card yake ya USA iwapo Trump atachaguliwa kuwa Rais mwaka 2016; kweli aliirudisha na kuhama kabisa marekani na sasa hivi anaishi Abeoukuta Nigeria.
 
Samia anautaka urais kwa udi na uvumba ingawa upinzani ni mkali mno toka chama chake...

Urais wa Tanzania hauwi tu, una mauza uza yake kimila...
 
Mimi binafsi kuna mtu nilikuwa simjui vizuri na wala sikuwahi kumuwazia lakini toka nianze kumskia akifanya kazi baada ya kupewa nafasi na nikasema waliomteuwa hawakufanya makosa wanajuwa na hapo nawapa pongezi.

Dotto Biteko naamini kabisa huyu yuko level nyingine kabisa, yuko smart na sijawahi kusikia akiongelewa ujinga ujinga naamini huyu ana future kubwa nchi hii. nastahili kuja kuwa kiongozi mkubwa na mamlaka inatambua uwezo wake.
Ana kashfa kwenye Madini na sijui amejenga hotel Nchi jirani anakofanana nao
 

Sina uhakika ila kila nikiwaza naona kama matrix inaegemea kwa Makamba Junior.

JK, Luten Makamba na Luten Nauye wazazi wa Ridhiwan, January na Nape. Wazazi wamekuwa wote pale Chuo cha Jeshi Monduli na Mzee Kinana.

January personal secretary wa Rais Jakaya, mbio za Urais 2015 kaingia tatu bora CCM.

2015 baada ya uchaguzi January, Nape wanakuwa mawaziri chini ya Hayati Magufuli ghafla wanatenguliwa uwaziri.

Kumbuka umri hausimami, unaenda, wote wanakaribia miaka 50. Wazee wao hawana uhakika kama watakuwepo kwa miaka mingine mitano mbele. January kahamishiwa Wizara ya Mambo ya Nje ili kupikwa, kumbuka ndio wizara iliyomtoa Rais kikwete.

Hakuna mzazi anayependa kumrithisha mtoto wake njaa.
January for president ili kuwalinda ndugu zake Nape na Ridhiwani.

What if ikaja kuwa kweli?
Hahaha
 
Back
Top Bottom