Naona January kama ndiye Rais anayefuata hivi!

Labda December sio January
 

Kwanza hujui hata unachoandika

January Makamba,mbio za urais 2015 aliishia 5 bora na wala siyo tatu bora! Tatu bora alikua
1. Dkt John Pombe Joseph Magufuli
2. Dkt Asha Rose Migiro
3. Balozi Amina Ally!

Pia Mzee Moses Nauye alikua na cheo cha Brigedia hadi mauti yake na wala siyo Luteni!
 
Kwa haraka haraka hakuna wa kushindana na January.
January ana Sapoti na Baraka zote za kuwa Raisi.
Kwa sasa.
 
uwezo wake wa kuongoza ni mdogo.ila kihesabu za kisiasa Marope yupo karibu kabisa na mlango wa Ikulu.
unajua Msoga ndio Tony Kroos wa CCM kwa sasa.
na ule utatu wa Monduli bado upo:
Msoga.
Wazuri hawafi.
mzee Msomali kipara.
 
January for president ili kuwalinda ndugu zake Nape na Ridhiwani.

What if ikaja kuwa kweli?
Hii ikija kuwa kweli ni kwasababu JM is the best na sio kwasababu ya kuwalinda Nape na Riz1!.
Kwenye lineup yangu ya presidential material, JM is the top best sio kumpokea Samia, bali kuimalizia ngwe yake ya pili ya 2025-2030.

Kwa 2030, JM na CCM will be tested kwasababu watu kama ZZK watatupa karata zao kama nilivyo eleza hapa. Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…