Naona January kama ndiye Rais anayefuata hivi!

January akiwa rais nahama nchi wallahi.
Maana nahisi kipindi chake Tanzania ndio itakua inapitia laana ambayo haijawahi kupitia.
Prof Wole Soyinka aliahidi kurudisha Green Card yake ya USA iwapo Trump atachaguliwa kuwa Rais mwaka 2016; kweli aliirudisha na kuhama kabisa marekani na sasa hivi anaishi Abeoukuta Nigeria.
 
Samia anautaka urais kwa udi na uvumba ingawa upinzani ni mkali mno toka chama chake...

Urais wa Tanzania hauwi tu, una mauza uza yake kimila...
 
Ana kashfa kwenye Madini na sijui amejenga hotel Nchi jirani anakofanana nao
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…