Naona jinsi ambavyo nguvu kubwa inatumika ili kumshusha tena Diamond

Baada ya kushindwa kipindi cha nyuma sasa wameanza tena safari hii ila nyani mkuu ametulia tuliii anawaacha wapige kelele wabebane lakini atakuja kuwanyamazisha kidomo domo hao View attachment 1250366
Wanatumia nguvy kubwa sanaaaaaaaa,tena sasa wameungana E-fm na clouds,Ka Harmonize kamekubali kutumika kijinga sana

Believe me hawajamaa hawatomuweza huyo mtu na mwisho wa yote huyo Harmonize watamuweka pembeni.
Mondi anatumia akili sana na ni mjanja mnooo.

Wao wachutame tu yamewashinda.

Eti nao hawa wanafiki walikua hawapigi ngoma za WCB ila sasa katoka kijana wanapiga.Hii ni kufhihirisha walikua wameshindwa na yalikua yanawauma
 
Watu waache mambo yao waangaike na huyo mbongofleva wako
 
Kwahiyo na yeye alishiriki kumshusha Mr Nice? Na yeye alishiriki Kumshusha Juma Nature? Kuwa namba moja kwa muda inawezekana ila milele haiwezekani ,Diamond atashuka muda wake ukifika na sio kushushwa na watu au ulitaka msanii awe peke yake tu? Au ulitaka Harmonise aendelee kunyonywa na kubaniwa tu WCB?

Nakumbuka Fella alishawahi kusema kawajengea nyumba yamoto band wote,lakini kuna wimbo Aslay ameimba watu wanamiliki maVOGUE lakini wanamuombea mabay yeye ashindwe hata kulipa kodi ya nyumba.
 
Mtoa Mada Hebu Tupa Hilo Furushi La Ujinga Unalotembea Nalo.
 
Kwa hiyo ulitaka harmonize, efm na clouds wakae chini wamuangalie huyo domo na wasafi wanafanya nini, maana kila wanachofanya wanataka kumshusha domo, watu wasifanye yao kisa chai jaba hebu tulia huu mchezo hauhitaji hasira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…