Naona jinsi ambavyo nguvu kubwa inatumika ili kumshusha tena Diamond

Naona jinsi ambavyo nguvu kubwa inatumika ili kumshusha tena Diamond

Hapana sio kweli hili si swala la kufumbia macho hata kidogo

Utaacha kukemea mauaji ya albino eti kisa tu albino walianza kuuliwa kitambo tangu enzi za mababu kwaiyo huna haja ya kukemea kwasababu wataendelea tu kuuliwa??[

Sitetei men kuvaa hereni, je kwa kukemea tu itatosha kukomesha tabia hii???

Usifananishe kutoa mtu uwahi na kuvaa hereni
 
Tulieni mlambe dawaaaah
Wasafi_FM_on_Instagram%3A_%E2%80%9CTunaichana_Anga_ya_Kimataifa%2C_Tunapasua_Mawimbi_ya_burud...jpeg
 
Imekua kila kitu kisifanyike sababu ya Diamond,msanii akitoa wimbo inakua ametumwa amzibie diamond , Diamond this diamond that... WTF
 
OK. No hard feelings bro. Ila wizkid ameshaperfom fiesta mwanza I think mwaka juz. Na ameshaperform had kwenye Show ya East Africa radio...

It's a good thing to have wizkid Lakin usiact Kama ni first time yy kufanya Show bongo
Wizkid wa wakati huo siyo huyu wa sasa . Takeit to yo head
 
Wanatumia nguvy kubwa sanaaaaaaaa,tena sasa wameungana E-fm na clouds,Ka Harmonize kamekubali kutumika kijinga sana

Believe me hawajamaa hawatomuweza huyo mtu na mwisho wa yote huyo Harmonize watamuweka pembeni.
Mondi anatumia akili sana na ni mjanja mnooo.

Wao wachutame tu yamewashinda.

Eti nao hawa wanafiki walikua hawapigi ngoma za WCB ila sasa katoka kijana wanapiga.Hii ni kufhihirisha walikua wameshindwa na yalikua yanawauma
Sawaa mama dangote
 
Back
Top Bottom