naona kama Bongo star search wamekosa mvuto kwasasa?? Shida nini

naona kama Bongo star search wamekosa mvuto kwasasa?? Shida nini

Sio bongo star search tu kiufupi tasnia nzima ya burudani siku hizi imepoa sana angalia hata matamasha yanayoandaliwa mfano wasafi festival hayana amsha amsha tofauti na zamani ukisikia Kuna tamasha kama fiesta unaona kabisa jiji Zima ni gumzo ila siku hizi hata hao clouds wenyewe wakisema waandae tamasha linakuwa halina mzuka kabisa
 
Sio bongo star search tu kiufupi tasnia nzima ya burudani siku hizi imepoa sana angalia hata matamasha yanayoandaliwa na wasanii mfano wasafi festival hayana amsha amsha tofauti na zamani ukisikia Kuna tamasha kama fiesta unaona kabisa jiji Zima ni gumzo ila siku hizi hata hao clouds wenyewe wakisema waandae tamasha linakuwa halina mzuka kabisa
Elimu tunyoendele kutoa Jamii Forums na mitandao ya kijamii inapaa.

Watu wamepunguza ujinga ujinga.

Zamani ukisia Tigo Fiesta Mikoani Nchi nzima inazizima.

Hata wasanii wameshtuka ilikuwa inakula pesa zao. Kwa sasa kila mtu anapata kidogo anataka kuweka akiba ya baadae
.
Bora watu wabeti
 
bado mnafuatiliaga huo ujinga? mtakuwa lini? Ila Bongo inaweza kuwa ni moja ya SOko kubwa sana ya Television make wabongo hata basi lisilo kuwa na TV mtu hataku kupanda.
Zimeingia karibuni waache iwe dreams zao
 
Jaji Shilole utegemee iwe na mvuto kweli?
 
Back
Top Bottom