Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
- Thread starter
-
- #21
eti eehBaada ya kuona wanaobezwa wakitoboa (Harmo) na washindi wakipigika (Juma4) nimepoteza mzuka na hiyo show!
Pia wanahitaji kua more creative maana naona imekua na comedy nyingi.
hapo sasaNadhani benchi la ufundi linatakiwa libadilike, ujinga ni kufanya jambo lile lile kwa namna ile ile halafu ukitegemea matokeo chanya
mi sijui naiona youtubeIko channel gani na ni muda gani mkuu?
aiseekwenye star times kuna chaneli inarusha hilo shindano
aiseeWanabishana hadharani kama wasio na Kiongozi.
Shida sio wao shida ni umri wako mkuu.. sasa unatakiwa uachane na hayo mavitu ufocus na mambo mengine..Wakuu naangalia Bss naona inaniboa kabisa pia nimeangalia hata wanao view kwene social media wana zidiwa hata na wachekeshaji wadogo wakati ni tukio kubwa sana!
Kwanza una moyo.Wakuu naangalia Bss naona inaniboa kabisa pia nimeangalia hata wanao view kwene social media wana zidiwa hata na wachekeshaji wadogo wakati ni tukio kubwa sana!
Elimu tunyoendele kutoa Jamii Forums na mitandao ya kijamii inapaa.Sio bongo star search tu kiufupi tasnia nzima ya burudani siku hizi imepoa sana angalia hata matamasha yanayoandaliwa na wasanii mfano wasafi festival hayana amsha amsha tofauti na zamani ukisikia Kuna tamasha kama fiesta unaona kabisa jiji Zima ni gumzo ila siku hizi hata hao clouds wenyewe wakisema waandae tamasha linakuwa halina mzuka kabisa
sawa dkKwanza una moyo.
Kwa sasa Uchawa ndio unalipa Kaka.
Zimeingia karibuni waache iwe dreams zaobado mnafuatiliaga huo ujinga? mtakuwa lini? Ila Bongo inaweza kuwa ni moja ya SOko kubwa sana ya Television make wabongo hata basi lisilo kuwa na TV mtu hataku kupanda.
sijui wamekosea wapBss ilikuwa ya enzi za kina msechu,kina Walter chilambo na kipindi Cha kayumba,ile ndo ilikuwa bss siku hizi hamna kitu.