Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Kama Kutongoza mdada ni urijali na si kujishusha, mbona wao wadada hawatutongozagi? Maana Kimoyo moyo wao wanajua kumshobokea na kumfuata fata mtu ni kujishushia point.
Sahivi mpaka nitongoze demu, ni iwe nimemwelewa sana, la sivyo nakula buyu tu. Kujidhalilisha bila sababu Kisa natongoza, kwangu tena ni mwiko.
Sahivi mpaka nitongoze demu, ni iwe nimemwelewa sana, la sivyo nakula buyu tu. Kujidhalilisha bila sababu Kisa natongoza, kwangu tena ni mwiko.