Naona kama mkosi Mkubwa kwangu kuzaliwa jamii ya watu weusi

Mto Songwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2023
Posts
6,683
Reaction score
14,060
Binafsi kuzaliwa mtu wa jamii ya watu mweusi kumegeuka mkosi na sio tu kuzaliwa katika jamii ya mtu mweusi pia kuzaliwa Afrika& muafrika na pia sio tu kuzaliwa muafrika pia kuzaliwa Tanzania na Mtanzania.

Ni mambo ambayo kabla ya kuzaliwa kwangu kama ningepewa machaguzi hakika nisinge fikiri mara mbili ninge yakataa haraka sana bila hata kujiuliza mara mbili mbili.

Katika safari ya maisha yangu sijawahi kabisa kufurahia maana ya maisha na sababu yake naifahamu na inanitesa sana.

Sina uwezo wa kuikataa asili yangu na jamii yangu na hata kama nikifanya hivyo nitakuwa najiongopea tu lakini ukweli halisi utabaki ndani ya moyo wangu ukinitesa sana.

Binafsi nimekuwa ni mtu wa kuwaza sana tena sana hali ambayo mara kadhaa imekuwa ikinipelekea mpaka mwili wangu kutokuwa sawa kiafya.

Nimejaribu mara nyingi kuya puuzia, kujiepusha na kutoya fuatilia mambo yanayo tokea katika jamii yangu angalau nilinde afya ya mwili wangu kwa kujiepusha kuwaza sana lakini nimeshindwa ni kama hayo mambo yana nilazimisha niyawaze hata nikijaribu kujiongopea kwa kutokuyafuatilia lakini changamoto bado ipo.

Inahitaji moyo wa kipekee sana kuwa mtu mwenye furaha katika hii jamii yetu.

Jamii yetu kwa haraka unawezasema ni kama imerogwa au imelaanika huko kale au sijui ndivyo ilivyo ? Kwa kweli sifahamu labda wenzangu mnafahamu.

Huu mkosi wa mimi kuzaliwa katika hii jamii sitapenda wala sitahitaji kizazi changu kije kirithi hii hali maana inahitaji uvumilivu wa kiwango cha juu sana pasipo kuchukua maamuzi magumu.

Katika jambo nililo jiapizia ni mimi kutokuja kuleta kiumbe katika mkosi huu kama huu mkosi acha unipate mimi tu na nife nao lakini sio kiumbe changu kuja kurithi hii laana ambae mimi Baba yake nimeiona na kuishi katika jamii yangu.

Imefika muda unaishi tu ili umalize safari ya maisha yako hapa duniani ufe.

Nimekuwa ni mtu wa huzuni nyingi sana mara nyingi na pia ni mtu wa kufikiri sana kupita kiasi, wenda kuzunguka kwangu maeneo mengi katika jamii yangu kuna nitesa sana na kupelekea yote haya.

Na hakika niliyo shuhudia yana hitaji moyo mgumu sana na wa uvumilivu kufikiri sisi hatuja laaniwa au hatuna mikosi.

Mitandao kidogo inasaidia kunipunguzia huzuni na wakati mwingine nayo inachangia kuniongezea huzuni ni sawa na 50/50.

Inahitaji moyo mgumu sana kuyavumilia haya ya jamii yangu maana ni mateso makali na ukiwa na akili timamu hakika mateso makali lazima yatese mwili wako mpaka siku ya kifo chako.

Kama kweli kuna maisha ya pili baada ya kifo na nikapata machaguzi ya kuzaliwa wapi hakika sitaweza kuchagua asili yangu na jamii yangu niliyo nayo.

Kwa sasa sina uwezo wa kukimbia kivuli changu(asili yangu ) lakini acha nikipieshe kizazi changu juu ya hii laana iliyopo katika jamii yangu.

Unahitaji moyo wa kipekee sana tena sana kutokuchukizwa kwa yanayo endelea.
 
Mbona unalalamika tu jamii? Mara mwafrica,mara kuzaliwa Tanzania?. Halafu husemi hiyo jamii uliyozaliwa nayo ni ipi ili tupate namna ya kuishi na hiyo jamii au namna ya kuondokana nayo?

Mateso unayopitia husemi ni mateso gani kwenye hiyo jamii ili tujue tunakusaidiaje hata kimawazo?. Vyote husemi unalalamika tu jamii?

Mbona wote sisi ni Waafrica wa jamii hizi hizi?. Wote ni Watanzania Waafrica wa jamii hizi hizi?. FAFANUA NINI TATIZO?
 
Binafsi kuzaliwa mtu wa jamii ya watu mweusi kumegeuka mkosi na sio tu kuzaliwa katika jamii ya mtu mweusi pia kuzaliwa Afrika& muafrika na pia sio tu kuzaliwa muafrika pia kuzaliwa Tanzania na Mtanzania...
Wee jamaa! Katika jamii hiyo hiyo watu wanafurahia maisha wanakula bata! Nenda sehemu za starehe (kama mkazi wa Dar) tembelea sehemu za starehe unazoweza kuzimudu uone watu wanavyotumia hela! Angalia aina ya magari wanayotembelea! Nenda maeneo pembeni ya jiji la Dar kama Bunju uone nyumba za kifahari zinavyoota kama uyoga!

Kwa ufupi naweza kukwambia: UOGA WAKO UMASIKINI WAKO

Matatizo uliyonayo yamefungwa kwenye fikra zako! Ili uishi maisha unayoyataka pambana! Hakuna cha bure!

Hata hivyo nimesikitishwa na huu mstari:

"Imefika muda unaishi tu ili umalize safari ya maisha yako hapa duniani ufe."

Nani alikwambia ulikuja duniani ukae kizembezembe! Utatoa hesabu kwa kile ulichokifanya duniani vinginevyo huko uendako ni kubaya zaidi utaomba urudishwe dunia na hutoweza! OKOKA!
 
Kwa hyo unaona bora ungezaliwa MBWA marekani🤣🤣🤣pambana kijana.maisha ni marahisi wewe tu na unavyoyachukulia
 
Wazungu wanatutamani kuanzia ngozi , nguvu yakufanya mapenzi , wanawake kuhimili mapigo na kuwa wamoto sana . Sasa nenda kaandamane upuzi
 
Kinachokukera sana Tanzania na Africa ni kipi bro hadi ujutie hivi?

Unadhani ukienda kuishi nje ya Africa utapata amani unayoikosa sahivi?
 
Binafsi kuzaliwa mtu wa jamii ya watu mweusi kumegeuka mkosi na sio tu kuzaliwa katika jamii ya mtu mweusi pia kuzaliwa Afrika& muafrika na pia sio tu kuzaliwa muafrika pia kuzaliwa Tanzania na Mtanzania.

Ni mambo ambayo kabla ya kuzaliwa kwangu kama ningepewa machaguzi hakika nisinge fikiri mara mbili ninge yakataa haraka sana bila hata kujiuliza mara mbili mbili.

Katika safari ya maisha yangu sijawahi kabisa kufurahia maana ya maisha na sababu yake naifahamu na inanitesa sana.

Sina uwezo wa kuikataa asili yangu na jamii yangu na hata kama nikifanya hivyo nitakuwa najiongopea tu lakini ukweli halisi utabaki ndani ya moyo wangu ukinitesa sana.

Binafsi nimekuwa ni mtu wa kuwaza sana tena sana hali ambayo mara kadhaa imekuwa ikinipelekea mpaka mwili wangu kutokuwa sawa kiafya.

Nimejaribu mara nyingi kuya puuzia, kujiepusha na kutoya fuatilia mambo yanayo tokea katika jamii yangu angalau nilinde afya ya mwili wangu kwa kujiepusha kuwaza sana lakini nimeshindwa ni kama hayo mambo yana nilazimisha niyawaze hata nikijaribu kujiongopea kwa kutokuyafuatilia lakini changamoto bado ipo.

Inahitaji moyo wa kipekee sana kuwa mtu mwenye furaha katika hii jamii yetu.

Jamii yetu kwa haraka unawezasema ni kama imerogwa au imelaanika huko kale au sijui ndivyo ilivyo ? Kwa kweli sifahamu labda wenzangu mnafahamu.

Huu mkosi wa mimi kuzaliwa katika hii jamii sitapenda wala sitahitaji kizazi changu kije kirithi hii hali maana inahitaji uvumilivu wa kiwango cha juu sana pasipo kuchukua maamuzi magumu.

Katika jambo nililo jiapizia ni mimi kutokuja kuleta kiumbe katika mkosi huu kama huu mkosi acha unipate mimi tu na nife nao lakini sio kiumbe changu kuja kurithi hii laana ambae mimi Baba yake nimeiona na kuishi katika jamii yangu.

Imefika muda unaishi tu ili umalize safari ya maisha yako hapa duniani ufe.

Nimekuwa ni mtu wa huzuni nyingi sana mara nyingi na pia ni mtu wa kufikiri sana kupita kiasi, wenda kuzunguka kwangu maeneo mengi katika jamii yangu kuna nitesa sana na kupelekea yote haya.

Na hakika niliyo shuhudia yana hitaji moyo mgumu sana na wa uvumilivu kufikiri sisi hatuja laaniwa au hatuna mikosi.

Mitandao kidogo inasaidia kunipunguzia huzuni na wakati mwingine nayo inachangia kuniongezea huzuni ni sawa na 50/50.

Inahitaji moyo mgumu sana kuyavumilia haya ya jamii yangu maana ni mateso makali na ukiwa na akili timamu hakika mateso makali lazima yatese mwili wako mpaka siku ya kifo chako.

Kama kweli kuna maisha ya pili baada ya kifo na nikapata machaguzi ya kuzaliwa wapi hakika sitaweza kuchagua asili yangu na jamii yangu niliyo nayo.

Kwa sasa sina uwezo wa kukimbia kivuli changu(asili yangu ) lakini acha nikipieshe kizazi changu juu ya hii laana iliyopo katika jamii yangu.

Unahitaji moyo wa kipekee sana tena sana kutokuchukizwa kwa yanayo endelea.
ni kweli uafrika ni nusu unyani.
lakini hujatueleza kinagaubaga.
 
Hayo ndio madhara ya kuvimbiwa propaganda,nakwambia hapa na siku utanikumbusha utakuja kushukuru ulambe hadi ardhi kuzaliwa mtu mweusi,ni baraka kubwa sana kuzaliwa mtu mweusi! Huwezi kujikataa kiasi hicho alafu uwe na amani ni lazima ujihisi una bahati mbaya
 
Back
Top Bottom