Naona kama mkosi Mkubwa kwangu kuzaliwa jamii ya watu weusi

Uwe mweupe au mweusi yote ni matokeo lakini kuishi maskini ni kupenda, ukiishi ukiwa unajikataa nao ni umaskini wa akili na ukifiri kuwa mweupe ni utajiri wa fikra nao ni ulemavu wa fikra hebu jiulize yeye ana nini ulichokosa kipi we huwezi fanya yy anakiweza au nikipi ambacho mwafrika hajakifanya huyoo mtu mweupe kakiweza labda nikueleze kitu hebu tizama Tanzania leo Kila Kona watu weupe wapo alafu angalia wanachokifanya eti ss wabongo hatuwezi alafu jiulize weusi wangapi tunao nchini wangefanya hivyohivyo au elimu yetu haitutoshi au wasomi wetu hawatupi hicho wanachofanya.

Labda niseme hivi ipo siku inakuaja hata mamantilie, machinga utaona hao weupe hata ongezeko la unyanyasaji dadazetu litaongeza nakuambia sodoma itahamia hapa hata dini mtaziona tupo hapa endeleeni kuzadharau weusi.....
 
Moja ya tatizo lako ni kulalamika na hujui unacho kulalamika ..
Landa nikusaidie.
Andika tatizo Nini.
Pili Andika miska yako tukuunfanishe JKT au jeshi la akiba(Mgambo)
Mwisho shukuru Hali uliyo mayo,Kuna wengine hawana .
 
Huna akili na kama unazo basi una ugonjwa wa akili.

Kula vizuri punguza stress utakuja kunishukuru kama huna mke is sasa!
 
Mmmmmmmhhhh!!
 
Kwanza kabisa uhai ni zawadi kutoka kwa Mungu haya mengine ni changamoto ambazo unahitaji kupambana ili kukabiliana nazo na hata kuepusha kizazi chako na hayo wewe unayoita mikosi, hata ulaya miaka hiyo waliikuta hali ngumu ila kwa nidhamu na ufanyaji kazi wao waliibadili ulaya kuiona hiyo unayoiwaza leo hii. Usijilaani mwenyewe pambana kuondoka kwenye mikosi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…