Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
wachumba na wapenzi, wake kwa waume hawafuatiliani kabisa wala hakuna mwenye time au tension na faragha za nje na mwenzie kama anafanya, tofauti kabisa na kipindi kifupi kulichopita. ni majukumu mazito ya msingi zaidi ya mapenzi yamewatinga?
maana habari za fumanizi hakuna tena skuizi, visa na mikasa ya kugombaniana mke au mume hakuna tena, sana sana ni connections tu za vijana wa moto, ndio habari ya mjini, ya kuunganisha jamuiya na familia za mitandao ya kijamii. ni kiwango cha uaminifu kimeongezeka sana kwenye mahusiano au ni kuheshimiana tu?
Je,
habari hii njema ya kiaminifu, na mabadiliko haya yanaweza kubadili hali za maisha ya watu kutoka kunconcentrate kufuatiliana kwenye mapenzi hadi kuzingatia kazi na majukumu yao ya kifamilia na ya kuwaongezea maokoto?🐒