Naona kama vile cheatings na fumanizi katika mahusiano na mapenzi zimepungua au kwisha kabisa nyakati hizi, kulikoni?

Naona kama vile cheatings na fumanizi katika mahusiano na mapenzi zimepungua au kwisha kabisa nyakati hizi, kulikoni?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
wachumba na wapenzi, wake kwa waume hawafuatiliani kabisa wala hakuna mwenye time au tension na faragha za nje na mwenzie kama anafanya, tofauti kabisa na kipindi kifupi kulichopita. ni majukumu mazito ya msingi zaidi ya mapenzi yamewatinga?

maana habari za fumanizi hakuna tena skuizi, visa na mikasa ya kugombaniana mke au mume hakuna tena, sana sana ni connections tu za vijana wa moto, ndio habari ya mjini, ya kuunganisha jamuiya na familia za mitandao ya kijamii. ni kiwango cha uaminifu kimeongezeka sana kwenye mahusiano au ni kuheshimiana tu?

Je,
habari hii njema ya kiaminifu, na mabadiliko haya yanaweza kubadili hali za maisha ya watu kutoka kunconcentrate kufuatiliana kwenye mapenzi hadi kuzingatia kazi na majukumu yao ya kifamilia na ya kuwaongezea maokoto?🐒
 
wachumba na wapenzi, wake kwa waume hawafuatiliani kabisa wala hakuna mwenye time au tension na faragha za nje na mwenzie kama anafanya...
majukumu mazito yamewatinga?

habari za fumanizi hakuna tena skuizi, ni connections tu ndio habari ya mjini ya kuunganisha jamuiya na familia za mitandao ya kijamii...
uaminifu umeongezeka kwenye mahusiano?

je,
habari hii njema ya kiaminifu, na mabadiliko haya yanaweza kubadili maisha ya watu kutoka kunconcentrate kufuatiliana kwenye mapenzi hadi kuzingatia kazi na majukumu yao ya kifamilia na ya kuwaongezea maokoto?🐒
Tunakusanya fweza za chafuzi,hivyo mtuache kwanza🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️
 
wachumba na wapenzi, wake kwa waume hawafuatiliani kabisa wala hakuna mwenye time au tension na faragha za nje na mwenzie kama anafanya. Majukumu mazito yamewatinga?

Habari za fumanizi hakuna tena skuizi, ni connections tu ndio habari ya mjini ya kuunganisha jamuiya na familia za mitandao ya kijamii, uaminifu umeongezeka kwenye mahusiano?

Je, habari hii njema ya kiaminifu, na mabadiliko haya yanaweza kubadili maisha ya watu kutoka kunconcentrate kufuatiliana kwenye mapenzi hadi kuzingatia kazi na majukumu yao ya kifamilia na ya kuwaongezea maokoto?🐒
Yaani niache mambo ya msingi nianze kifuatilia zee zima ambae kaamua kupereka kisepu chake kwa msela

Sina muda huo nikimgundua namwacha kimavi mavi tu masela
 
Maisha yapo kasi na nyimbo za mond zimesaidia kwa kiasi "nimeachwa staki maswali naumwagilia moyo.......so vijana tumejikita kwenye pombe na kubeti tukipata hela tunanunua Malaya fresh ASA fumaniz za nn wakat wanaume saiv tumeanza jitambua nadir siku zinaenda ke wanatabu sana
 
Back
Top Bottom