Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Looh, haya bwana! Nimpongeze kocha wa Yanga. Wachezaji wameanza kujituma kweli. Hata wanachama wa Simba wameanza kuuliza kuhusu zile sindano, mmezirudia? Naona zina nguvu, dooh!
Mchakamchaka mdogo mdogo, lakini Yanga inarudi tena.
All the best na heri ya mwaka mpya kwa wana Yanga wote!
Mchakamchaka mdogo mdogo, lakini Yanga inarudi tena.
All the best na heri ya mwaka mpya kwa wana Yanga wote!