Naona kampa kampa tena, polepole inarudi Yanga! Tafuteni wafungaji tumalizie kazi

Naona kampa kampa tena, polepole inarudi Yanga! Tafuteni wafungaji tumalizie kazi

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Looh, haya bwana! Nimpongeze kocha wa Yanga. Wachezaji wameanza kujituma kweli. Hata wanachama wa Simba wameanza kuuliza kuhusu zile sindano, mmezirudia? Naona zina nguvu, dooh!

Mchakamchaka mdogo mdogo, lakini Yanga inarudi tena.

All the best na heri ya mwaka mpya kwa wana Yanga wote!
 
Hiiyangaa hii

Looh hayabanaa

Nimpongezeee kocha WA yangaa

Wachezaji wameanxa kujitumaaa. HATA wanasinba wameanxakluuliza zile sindano. Mmezirudia naona Zina nguvuu dooh

Mdogomdogo kampaa kampa tenaa inarudi

Wall d best n happy new yr Wana YANGA wote
Una umri gani?
 
Back
Top Bottom