Naona kampeni ya kumchafua Waziri Mkuu Majaliwa na hachafuki ng'o kwa kuwa sio fisadi

Tafakari yetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2021
Posts
1,505
Reaction score
4,427
Ni kawaida ya viongozi wakali na waadilifu kurushiwa tuhuma za kuwachafua na hili naliona kwa waziri Mkuu wetu Mhe. Majaliwa lakini ukweli ni kwamba hawezi kuchafuka kwa kuwa sio fisadi na wala hana chembechembe hizo na katika jamii yetu tuhuma za ufisadi ndio zinaweza kumchafua mtu.

Kwa mtazamo wangu, naona vita ya Urais kwa 2025 au 2030 zimeanza mapema Sana na mtu mwenye uwezekano wa kushinda ni waziri Mkuu hivyo zinatumika juhudi kubwa kumchafua lakini zinashindikana.

Wanaotaka kumchafua Waziri Mkuu wasubirie ishu ya ufisadi Kama akikutwa nayo lakini sidhani Kama atakuwa nayo, ni moja ya watu safi katika dhamiri, maneno na matendo.
 
Aliyekwambia ufasadi peke yake ndo unaondoa sifa ya kuwa kiongozi basi umetapeliwa. Uongo ni kashifa kubwa hata vitabu vya dini vimelaani na adhamu yake ni kutupwa kwenye moto wakasalimiane na shetani.
 
Wewe Ni mwongo, huu uzi hausiani kabisa na Majaliwa
 
Mwana wa Mungu hatakiwi kuwa na ndimi mbili kama swila. Ndiyo Yako iwe NDIYO. Siyo yake iwe SIYO. Amen
 
Ni kawaida ya viongozi wakali na waadilifu kurushiwa tuhuma za kuwachafua na hili naliona kwa waziri Mkuu wetu Mhe. Majaliwa lakini ukweli ni kwamba hawezi kuchafuka kwa kuwa sio fisadi na wala hana chembechembe hizo na katika jamii yetu tuhuma za ufisadi ndio zinaweza kumchafua mtu.

Kwa mtazamo wangu, naona vita ya Urais kwa 2025 au 2030 zimeanza mapema Sana na mtu mwenye uwezekano wa kushinda ni waziri Mkuu hivyo zinatumika juhudi kubwa kumchafua lakini zinashindikana.

Wanaotaka kumchafua Waziri Mkuu wasubirie ishu ya ufisadi Kama akikutwa nayo lakini sidhani Kama atakuwa nayo, ni moja ya watu safi katika dhamiri, maneno na matendo.
Ana sifa na mchapa kazi.

Ajiepusha kuwa mwepesi kulopoka na kuongea uongo kwenye mambo mazito kwa Taifa. m.f.

1. Kifo cha JPM
2. Ngorongoro

Hili sio jambo zuri kwake, linaharibu siha na ubora alio nao.
 
Unamaanisha kwamba Majaliwa ana ndoto ya Urais ?
 
Majaliwa amuongoze Nani. Tangu lini mtu muongo akaongoza watu?. Mtu anadanganya msikitini rais mzima anachapa kazi wakati mtu anakaribia kuoza. Halafu anatukana wananchi wanaoulizia Hali ya rais. Bull shit
 
Ana sifa na mchapa kazi.

Ajiepusha kuwa mwepesi kulopoka na kuongea uongo kwenye mambo mazito kwa Taifa. m.f.

1. Kifo cha JPM
2. Ngorongoro

Hili sio jambo zuri kwake, linaharibu siha na ubora alio nao.

Sifa ya uongo imemuondoa kwenye kiongozi mzuri.
 
Seema nchi yetu hatujali. Ila majaliwa alitakiwa kungolewa kwenye hicho Kiti.
Ni safari ya miaka 100+kufikia kufanya maamuzi ya hivi

Kwa sasa tuendelee kusema mama anaupiga mwingi
 
Ni kawaida ya viongozi wakali na waadilifu kurushiwa tuhuma za kuwachafua na hili naliona kwa waziri Mkuu wetu Mhe. Majaliwa lakini ukweli ni kwamba hawezi kuchafuka kwa kuwa sio fisadi na wala hana chembechembe hizo na katika jamii yetu tuhuma za ufisadi ndio zinaweza kumchafua mtu.

Kwa mtazamo wangu, naona vita ya Urais kwa 2025 au 2030 zimeanza mapema Sana na mtu mwenye uwezekano wa kushinda ni waziri Mkuu hivyo zinatumika juhudi kubwa kumchafua lakini zinashindikana.

Wanaotaka kumchafua Waziri Mkuu wasubirie ishu ya ufisadi Kama akikutwa nayo lakini sidhani Kama atakuwa nayo, ni moja ya watu safi katika dhamiri, maneno na matendo.
We mwenyewe humtakii Emma maana bibi Hangaya anaogopa sana watu wanaoota uraisi , mara paaap kusoma magazeti na kabudi
 
Back
Top Bottom