Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Tukitajie au hata hotuba ya juzi hujajua ni uhalisiaUhalisia upi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukitajie au hata hotuba ya juzi hujajua ni uhalisiaUhalisia upi?
Huyo Mwongo Mwandamizi Hakuna anayemheshimu tena labda nyie chawa wake.Ni kawaida ya viongozi wakali na waadilifu kurushiwa tuhuma za kuwachafua na hili naliona kwa waziri Mkuu wetu Mhe. Majaliwa lakini ukweli ni kwamba hawezi kuchafuka kwa kuwa sio fisadi na wala hana chembechembe hizo na katika jamii yetu tuhuma za ufisadi ndio zinaweza kumchafua mtu.
Kwa mtazamo wangu, naona vita ya Urais kwa 2025 au 2030 zimeanza mapema Sana na mtu mwenye uwezekano wa kushinda ni waziri Mkuu hivyo zinatumika juhudi kubwa kumchafua lakini zinashindikana.
Wanaotaka kumchafua Waziri Mkuu wasubirie ishu ya ufisadi Kama akikutwa nayo lakini sidhani Kama atakuwa nayo, ni moja ya watu safi katika dhamiri, maneno na matendo.
Uhalisia upi?
Waziri mkuu aliposema hakuna fujo ndio wachochezi wakafanya yao. Wakawapelekea wamasai pinde kuwapanga kujionyesha wanajiandaa kwa uasi. Ni uchochezi tu kwanza kwa jadi masai hatui upinde na mshale bali mkuki ngao na sime.Ni kawaida ya viongozi wakali na waadilifu kurushiwa tuhuma za kuwachafua na hili naliona kwa waziri Mkuu wetu Mhe. Majaliwa lakini ukweli ni kwamba hawezi kuchafuka kwa kuwa sio fisadi na wala hana chembechembe hizo na katika jamii yetu tuhuma za ufisadi ndio zinaweza kumchafua mtu.