Tafakari yetu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 1,505
- 4,427
Uhalisia upi?Mkuu wapi wanamchafua au yeye anapingana na uhalisia wa mambo husika
Tuseme kweli hata kama hawapendi wataelewa tu
Ana sifa na mchapa kazi.Ni kawaida ya viongozi wakali na waadilifu kurushiwa tuhuma za kuwachafua na hili naliona kwa waziri Mkuu wetu Mhe. Majaliwa lakini ukweli ni kwamba hawezi kuchafuka kwa kuwa sio fisadi na wala hana chembechembe hizo na katika jamii yetu tuhuma za ufisadi ndio zinaweza kumchafua mtu.
Kwa mtazamo wangu, naona vita ya Urais kwa 2025 au 2030 zimeanza mapema Sana na mtu mwenye uwezekano wa kushinda ni waziri Mkuu hivyo zinatumika juhudi kubwa kumchafua lakini zinashindikana.
Wanaotaka kumchafua Waziri Mkuu wasubirie ishu ya ufisadi Kama akikutwa nayo lakini sidhani Kama atakuwa nayo, ni moja ya watu safi katika dhamiri, maneno na matendo.
Unamaanisha kwamba Majaliwa ana ndoto ya Urais ?Ni kawaida ya viongozi wakali na waadilifu kurushiwa tuhuma za kuwachafua na hili naliona kwa waziri Mkuu wetu Mhe. Majaliwa lakini ukweli ni kwamba hawezi kuchafuka kwa kuwa sio fisadi na wala hana chembechembe hizo na katika jamii yetu tuhuma za ufisadi ndio zinaweza kumchafua mtu.
Kwa mtazamo wangu, naona vita ya Urais kwa 2025 au 2030 zimeanza mapema Sana na mtu mwenye uwezekano wa kushinda ni waziri Mkuu hivyo zinatumika juhudi kubwa kumchafua lakini zinashindikana.
Wanaotaka kumchafua Waziri Mkuu wasubirie ishu ya ufisadi Kama akikutwa nayo lakini sidhani Kama atakuwa nayo, ni moja ya watu safi katika dhamiri, maneno na matendo.
Ni kawaida ya viongozi wakali na waadilifu kurushiwa tuhuma za kuwachafua na hili naliona kwa waziri Mkuu wetu Mhe. Majaliwa lakini ukweli ni kwamba hawezi kuchafuka kwa kuwa sio fisadi na wala hana chembechembe hizo na katika jamii yetu tuhuma za ufisadi ndio zinaweza kumchafua mtu.
Kwa mtazamo wangu, naona vita ya Urais kwa 2025 au 2030 zimeanza mapema Sana na mtu mwenye uwezekano wa kushinda ni waziri Mkuu hivyo zinatumika juhudi kubwa kumchafua lakini zinashindikana.
Wanaotaka kumchafua Waziri Mkuu wasubirie ishu ya ufisadi Kama akikutwa nayo lakini sidhani Kama atakuwa nayo, ni moja ya watu safi katika dhamiri, maneno na matendo.
Ana sifa na mchapa kazi.
Ajiepusha kuwa mwepesi kulopoka na kuongea uongo kwenye mambo mazito kwa Taifa. m.f.
1. Kifo cha JPM
2. Ngorongoro
Hili sio jambo zuri kwake, linaharibu siha na ubora alio nao.
Unamaanisha kwamba Majaliwa ana ndoto ya Urais ?
Uhalisia upi?
issue sio ufisadi issue kwanini waziri mkuu utoe taarifa za uongo
Ni safari ya miaka 100+kufikia kufanya maamuzi ya hiviSeema nchi yetu hatujali. Ila majaliwa alitakiwa kungolewa kwenye hicho Kiti.
We mwenyewe humtakii Emma maana bibi Hangaya anaogopa sana watu wanaoota uraisi , mara paaap kusoma magazeti na kabudiNi kawaida ya viongozi wakali na waadilifu kurushiwa tuhuma za kuwachafua na hili naliona kwa waziri Mkuu wetu Mhe. Majaliwa lakini ukweli ni kwamba hawezi kuchafuka kwa kuwa sio fisadi na wala hana chembechembe hizo na katika jamii yetu tuhuma za ufisadi ndio zinaweza kumchafua mtu.