Naona kampeni ya kumchafua Waziri Mkuu Majaliwa na hachafuki ng'o kwa kuwa sio fisadi

Huyo Mwongo Mwandamizi Hakuna anayemheshimu tena labda nyie chawa wake.
 
Uhalisia upi?

Juzi nilikuambia kuwa huwezi kutegemea taarifa yoyote ya ukweli toka serikalini, ukaja juu. Jana waziri mkuu kaongea uongo wa wazi bungeni, kuwa huko Ngorongoro hali ni shwari na hakuna askari yoyote kaenda huko kwa ajili ya kupiga wananchi. Leo hii mkuu wa mkoa wa Arusha kasema polisi kauwawa! Je bado unaweza kutegemea taarifa yoyote ya ukweli toka kwa serikali ya aina hiyo?
 
Utakuwa una matatizo ya akili ukimuwazia huyo jamaa kuja kuwa Rais
 
Waziri mkuu aliposema hakuna fujo ndio wachochezi wakafanya yao. Wakawapelekea wamasai pinde kuwapanga kujionyesha wanajiandaa kwa uasi. Ni uchochezi tu kwanza kwa jadi masai hatui upinde na mshale bali mkuki ngao na sime.
Wachochezi walitaka ionekane waziri mkuu muungo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…