General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
- Thread starter
-
- #41
Unaweza mwaga maji chumba kizima, mara kudeki, yani full karahaaHio ndio biashara ambayo inanifanya nishindwe kupika yani. Kupika ni raha sana ila ingekuwa kuna namna ukishashiba vyombo vinajiosha ingekuwa raha sana. Mchina atufyatulie mashine hio tafadhali. Kupika sio kazi, ishu kuosha vyombo yani ndio balaa!!!
Hahaha we kama mwanangu Dulla, msenge mchafuuu!!!Kupika simple sana na napenda sana sana Ila baada ya kupika na kula vyombo naosha baada ya wiki 3 mpaka mwez na mpaka nione kutu Labda ndo nashtuka au mpaka nzi wasuse na hujikuta nambulia kuvitupa nankununua tena
Karibu buan ndo maisha yetu
hahahaha hii ni moja ya sababu kwanini sipikiKuosha vyombo sasaaaa!
Kinapoteza radha!Unapika chakula kingi alafu unaweka kwenye fridge, then ukiwa na njaa unapasha kwenye microwave. Very simple
Bachela nataka kuwa bachela sababu maisha ya kisela sometimes yananipa raha
Mkuu
Watu tunatumiaga hiyo 1000 kwa siku na tunadunda mtaani
Nunua mkate au maskonzi weka ndani kazi ni kuhakikisha chupa inachai muda wote
Maisha yanaenda mungu siku moja atafanya maisha yawe mepesi usijali mkuu
sasa mkuu we hujui unaenda pika nini kwani? Huwezi kuwa serious, unataka uunge mboga kisha ufikegeto umesahau kitunguu na nyanyaChangamoto nayopata ni kuosha vyombo...inafika mahali natamani vuta jiko. Pia naeza enda gengeni 3 times...kwan naeza fika gheto..mara nimesahau...karoti...sijui hoho...tangawizi...daah kazi kweli..
General Mangi kuna fursa hapa. Sijui kama umegundua.Ulishawahi kula chakula changu wewe, hehehe utang'ata vidole mpaka vijiko.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuosha vyombo sasaaaa!
Sinaga hata Histori ya kitambiUnakula viporo?
Ndio mambo ya kujaza bacteria kibao tumboni na kujaa kitambi
HahaahahaGeneral Mangi kuna fursa hapa. Sijui kama umegundua.
Zinaweza kusugua ukoko?Mbona zipo dish washer
HahahHahaahaha
culture gal hana uoga, kama angenipenda angenifata PM na kunieleza...
Kwakua mimi mangi sina mengi, mtulivu na msikivu mbona ningemuelewaa....
Hakika mkuu!!Kusema ukweli kwa mtu mmoja kupiga usumbufu ni mwingi bora ule mgahawani.
Faida unazozikosa ni ubora wa chakula kwa kuwa hauna maamuzi au mamlaka juu ya kiasi na aina ya mafuta wanayotumia, ubora wa nafaka na vitu vingine.
Hii ni tofauti na ukiandaa mwenyewe, tatizo ni ile usumbufu na kupoteza muda.
Wanapendwa kuanzwa hao. Ebu tia gia kwanza halafu uone kama yajayo hayafurahishiHahaahaha
culture gal hana uoga, kama angenipenda angenifata PM na kunieleza...
Kwakua mimi mangi sina mengi, mtulivu na msikivu mbona ningemuelewaa....
Vitambi vinawapata wapenda chipsSinaga hata Histori ya kitambi
Najua mkuu...unajua wanaume ni tofauti na wanawake. Mwanamke anaelewa labda ndani..vitu hivi vinakaribia kuisha....nini kinahitajika hasa kwenye maswala ya maakuli...lakini kwa mimi sometime na gues viungo vingine vitakua ndani...ko sinunui..kumbe vishaisha..ndo balaa linaanzia hapoHahaha
sasa mkuu we hujui unaenda pika nini kwani? Huwezi kuwa serious, unataka uunge mboga kisha ufikegeto umesahau kitunguu na nyanya
HahhahahahWanapendwa kuanzwa hao. Ebu tia gia kwanza halafu uone kama yajayo hayafurahishi