Naona kuna kila dalili ya Prof Jay kutimkia CCM

Wakati wakina Lema na Chadema wakishinda mitandaoni kusaini petition kadhaa wakitaka Diamond afungiwe, Profesa Jay yeye anapiga show na vijana waCCM (Nandy, Diamond , Weusi nk). Wasanii ambao kwa mujibu wa Chadema ni moja ya watu waliotumika kuingiza mamlakani utwala dharimu wa CCM.

Wakati makamu mwenyekiti anatuma kwenye magrupu ya whatsapp watu washare katiba mpya, prof anaweka pembeni hizo post kisha anapost kwanza show zake, na kudharau maamuzi ya chama ya kuhusu suala la katiba mpya. Huu ukosefu mkubwa wa nidhamu wa Prof kkwa chama bila shaka unaashiria profesa anataka kwenda CCM kusimamimsha uchumi kwanza maana katiba mpya inaweza kusubiri.

Mimi binafsi naona Profesa Jay ni moja ya mfano mkubwa wa kuigwa kwa vijana. Maisha ya Profesa yanatufundisha kuwekeza sehemu nyingine pale tunapokuwa na nyadhifa za kisiasa ili siku unapozipoteza maisha yaendelee, Leo hii tofauti na Msigwa na Heche yeye maisha yake yanaendelea kama kawaida.

Unapokuwa umewekeza nje ya siasa maisha yanaendelea hata unapokuwa nje ya mfumo, yaani unalipa bili zako bila shida.
Karibu sana nyumbani Jay

Nayule zulumatiKatili popote aliko....
 
Mkuu huyu ni mwanamuziki na anaishi kwa sababu ya muziki. Asishrikiane na wenzie kwa sababu ni ccm? Hapana. Hiyo ni kazi yake. Hata wewe huwezi kuachana na rafiki au ndugu yako kwa sababu ni mccm!
 
Wakati wakina Lema na Chadema wakishinda mitandaoni kusaini petition kadhaa wakitaka Diamond afungiwe, Profesa Jay yeye anapiga show na vijana waCCM (Nandy, Diamond , Weusi nk). Wasanii ambao kwa mujibu wa Chadema ni moja ya watu waliotumika kuingiza mamlakani utwala dharimu wa CCM.

Wakati makamu mwenyekiti anatuma kwenye magrupu ya whatsapp watu washare katiba mpya, prof anaweka pembeni hizo post kisha anapost kwanza show zake, na kudharau maamuzi ya chama ya kuhusu suala la katiba mpya. Huu ukosefu mkubwa wa nidhamu wa Prof kkwa chama bila shaka unaashiria profesa anataka kwenda CCM kusimamimsha uchumi kwanza maana katiba mpya inaweza kusubiri.

Mimi binafsi naona Profesa Jay ni moja ya mfano mkubwa wa kuigwa kwa vijana. Maisha ya Profesa yanatufundisha kuwekeza sehemu nyingine pale tunapokuwa na nyadhifa za kisiasa ili siku unapozipoteza maisha yaendelee, Leo hii tofauti na Msigwa na Heche yeye maisha yake yanaendelea kama kawaida.

Unapokuwa umewekeza nje ya siasa maisha yanaendelea hata unapokuwa nje ya mfumo, yaani unalipa bili zako bila shida.
Karibu sana nyumbani Jay

Mchukueni tu huyo maana hana maajabu wala alama CHADEMA ivyo hana impact,mchango wake hauonekani bora wale covid 19 au ingekuwa Sugu,Mdude, Msigwa ndo tungestuka
 
Nani kasema kwamba kila aliye inadi CCM ni msaliti??

Wasaliti Ni wawili tu! Diamond na Zuchu.

Hawa walikuwa wanaunga mkono wakati jiwe anatema maneno ya makufuru na kutesa watu. Wakampa sifa lukuki eti "nyoronyoro" baba lao.
Vip kuhusu Konde Boy aliejichora tattoo na kujirecord akilia pindi kipenzi chake JPM aliposikia amefariki?bado level ya usaliti hajafikia?
 
Wakati wakina Lema na Chadema wakishinda mitandaoni kusaini petition kadhaa wakitaka Diamond afungiwe, Profesa Jay yeye anapiga show na vijana waCCM (Nandy, Diamond , Weusi nk). Wasanii ambao kwa mujibu wa Chadema ni moja ya watu waliotumika kuingiza mamlakani utwala dharimu wa CCM.

Wakati makamu mwenyekiti anatuma kwenye magrupu ya whatsapp watu washare katiba mpya, prof anaweka pembeni hizo post kisha anapost kwanza show zake, na kudharau maamuzi ya chama ya kuhusu suala la katiba mpya. Huu ukosefu mkubwa wa nidhamu wa Prof kkwa chama bila shaka unaashiria profesa anataka kwenda CCM kusimamimsha uchumi kwanza maana katiba mpya inaweza kusubiri.

Mimi binafsi naona Profesa Jay ni moja ya mfano mkubwa wa kuigwa kwa vijana. Maisha ya Profesa yanatufundisha kuwekeza sehemu nyingine pale tunapokuwa na nyadhifa za kisiasa ili siku unapozipoteza maisha yaendelee, Leo hii tofauti na Msigwa na Heche yeye maisha yake yanaendelea kama kawaida.

Unapokuwa umewekeza nje ya siasa maisha yanaendelea hata unapokuwa nje ya mfumo, yaani unalipa bili zako bila shida.
Karibu sana nyumbani Jay

Chadema kilishakufa Prof J lazima ajiongeze
 
Yaani asitafute ugali kisa wapuuzi wachache
Hahahahahah ameshajua Ugali upo CCM ye ang’ang’ane na Chadema kisa kumfurahisha Mbowe 😅???

Acheni ufala Nigga Jay sio mzembe imagine umekaa bungeni term moja tu umepata mafanikio makubwa sana kisha umemwagwa mtaani unalala na kuamka na mkeo kazi yako kuzurura tu mjini 😂 wife ameamua kuwa MC na ashaanza masimango ukiangalia sababu za wewe kukosa ubunge ni kwa vile uko Chadema kufurahisha wapuuzi wachache 😅!

Aende tu CCM mtaani pagumu aisee hasa ukiwa umezoea maisha ya VX V8 na una laki 3 ya kula na mafuta kila siku😅😅😅
 
Mchukueni tu huyo maana hana maajabu wala alama CHADEMA ivyo hana impact,mchango wake hauonekani bora wale covid 19 au ingekuwa Sugu,Mdude, Msigwa ndo tungestuka
Hahahaha kwa sababu anatumia akili kuliko mdomo ndio maana mnamuona hana faida😅😅😂 mlitaka atukane hovyo hovyo kama wale vichaa wenu kina mdude
 
Akili gani kwa mfano au kukaa kimya ndo akili? Mdude katukana tusi gani na kwa nini msimpeleke mahakamani?
Jibu hayo maswali kwanza
 
Siwezi kujibu swali lolote sababu mambo yako dhahiri! Unapotumia kauli isio na staha kwa mama yako sababu tu umebalehe haikufanyi kuwa hujakosea adabu!
Ni bora mara 100 professor Jay aliejikalia kimya kuliko Mdude aliyeonesha upumbavu wake kwa watanzania milion60
 
Back
Top Bottom