Naona kuna kila dalili ya Prof Jay kutimkia CCM

Nayule zulumatiKatili popote aliko....
 
Mkuu huyu ni mwanamuziki na anaishi kwa sababu ya muziki. Asishrikiane na wenzie kwa sababu ni ccm? Hapana. Hiyo ni kazi yake. Hata wewe huwezi kuachana na rafiki au ndugu yako kwa sababu ni mccm!
 
Mchukueni tu huyo maana hana maajabu wala alama CHADEMA ivyo hana impact,mchango wake hauonekani bora wale covid 19 au ingekuwa Sugu,Mdude, Msigwa ndo tungestuka
 
Nani kasema kwamba kila aliye inadi CCM ni msaliti??

Wasaliti Ni wawili tu! Diamond na Zuchu.

Hawa walikuwa wanaunga mkono wakati jiwe anatema maneno ya makufuru na kutesa watu. Wakampa sifa lukuki eti "nyoronyoro" baba lao.
Vip kuhusu Konde Boy aliejichora tattoo na kujirecord akilia pindi kipenzi chake JPM aliposikia amefariki?bado level ya usaliti hajafikia?
 
Chadema kilishakufa Prof J lazima ajiongeze
 
Vip kuhusu Konde Boy aliejichora tattoo na kujirecord akilia pindi kipenzi chake JPM aliposikia amefariki?bado level ya usaliti hajafikia?
Huyo yeye alikuwa ana mahaba yake binafsi kwa jiwe. Hakuwahi kutoa nyodo kwa wahanga wa utawala wa dikteta.
 
Yaani asitafute ugali kisa wapuuzi wachache
Hahahahahah ameshajua Ugali upo CCM ye angโ€™angโ€™ane na Chadema kisa kumfurahisha Mbowe ๐Ÿ˜…???

Acheni ufala Nigga Jay sio mzembe imagine umekaa bungeni term moja tu umepata mafanikio makubwa sana kisha umemwagwa mtaani unalala na kuamka na mkeo kazi yako kuzurura tu mjini ๐Ÿ˜‚ wife ameamua kuwa MC na ashaanza masimango ukiangalia sababu za wewe kukosa ubunge ni kwa vile uko Chadema kufurahisha wapuuzi wachache ๐Ÿ˜…!

Aende tu CCM mtaani pagumu aisee hasa ukiwa umezoea maisha ya VX V8 na una laki 3 ya kula na mafuta kila siku๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Mchukueni tu huyo maana hana maajabu wala alama CHADEMA ivyo hana impact,mchango wake hauonekani bora wale covid 19 au ingekuwa Sugu,Mdude, Msigwa ndo tungestuka
Hahahaha kwa sababu anatumia akili kuliko mdomo ndio maana mnamuona hana faida๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚ mlitaka atukane hovyo hovyo kama wale vichaa wenu kina mdude
 
Hahahaha kwa sababu anatumia akili kuliko mdomo ndio maana mnamuona hana faida๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚ mlitaka atukane hovyo hovyo kama wale vichaa wenu kina mdude
Akili gani kwa mfano au kukaa kimya ndo akili? Mdude katukana tusi gani na kwa nini msimpeleke mahakamani?
Jibu hayo maswali kwanza
 
Akili gani kwa mfano au kukaa kimya ndo akili? Mdude katukana tusi gani na kwa nini msimpeleke mahakamani?
Jibu hayo maswali kwanza
Siwezi kujibu swali lolote sababu mambo yako dhahiri! Unapotumia kauli isio na staha kwa mama yako sababu tu umebalehe haikufanyi kuwa hujakosea adabu!
Ni bora mara 100 professor Jay aliejikalia kimya kuliko Mdude aliyeonesha upumbavu wake kwa watanzania milion60
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ