Naona kuna kila dalili ya Prof Jay kutimkia CCM

Asifanye mziki akale wapi?
 
Mama gani anaeshindwa kumtetea mwanae anaeonewa na 'kiongozi kichaa'?
Unajua sifa za mama kwa mwana?
Mama gani anaeunga mkono wauaji na kuwatetea kuwa yuko nao?
Labda kama unazungumzia wale wa mama wa Corner bar,Mdude hajavunja sheria yoyote ile,tatizo lenu ni kuunga mkono lolote lile ndio maana mkaletewa kichaa na aliwakomesha kweli.
 
Si ndio hapo [emoji28][emoji28]

Wapinzani wenyewe wachumia tumbo bongo hakunaga upinzani ni maslahi tu
 
Si ndio hapo [emoji28][emoji28]

Wapinzani wenyewe wachumia tumbo bongo hakunaga upinzani ni maslahi tu
Mie ningehamia kipindi kile kile cha Kampeni huenda aliikataa offer kwa kiburi ila mtaa sio kama miaka ile ya 2008 unafungua saloon unawanyoa watu kwa 30,000 game imekuwa tight hela hamna unaweza wekeza 30M ukashaangaa hela imelelala tu
 
Mie ningehamia kipindi kile kile cha Kampeni huenda aliikataa offer kwa kiburi ila mtaa sio kama miaka ile ya 2008 unafungua saloon unawanyoa watu kwa 30,000 game imekuwa tight hela hamna unaweza wekeza 30M ukashaangaa hela imelelala tu
Atakuwa anatamani angekubali tu.
Sasahivi atakuwa alishachoka kufa na tai shingoni..unaweza kufa njaa hivihivi na hakuna chochote unapata zaidi ya sifa tu mitandaoni.
 
Atakuwa anatamani angekubali tu.
Sasahivi atakuwa alishachoka kufa na tai shingoni..unaweza kufa njaa hivihivi na hakuna chochote unapata zaidi ya sifa tu mitandaoni.
Yani unamuona tu mtu yuko depressed kabisa! Jamaa alivunjiwa nyumba Kimara atakuwa alijenga mahali pengine sababu hela ilikuwepo ila trust me hela ikiwa haiingii unaitumia tu inaumiza sana moyo na akili aisee! Anaweza kuwa na miradi ila mradi wa kukuingizia 12M kwa mwezi isio na kodi sio kitu chepesi!πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Unatoka kuwa na uhakika wa milion 15 kila mwezi mpaka uhakika wa 3M kwa mwezi kudadadeki. Sio kitoto yani

Na lifestyle ya ubunge ada ya mtoto lazima walimpeleka lishule la gharama sana! Gari alkuwa ana spacio akanunua Vx Limited na sina shaka mkewe alimnunulia chuma ya adabu! Kudondoka kwa status inaumiza sana acha tu yani yule mama kuwa MC ni katika kupambana tu ila ndoa haiwezi kuwa na raha in the same way!

Jamaa lazma anajuta sana yani kuikataa ile chance πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Unataka asitafute pesa kisa chadema?
Mnamlipa mshahara au akose pesa ya familia yake kisa atawaudhai chadema.
Kama hamtaki a join na hao vijana wa ccm mlipeni mshahara unaomtosha na familia yake kisha mmupe masharti.
Pia matangaze kuwa hamtaki muafaka na wenzenu wa ccm.
 
Ila wewe jamaa[emoji38]
Unanichekesha ujue[emoji38]

Ila bora akina sisi ambao hatuna hela na bado hatujakamata hela hatuna stress sana.
Kuliko mtu ushike hela halafu tena urudi tena nyuma.
 
Ila wewe jamaa[emoji38]
Unanichekesha ujue[emoji38]

Ila bora akina sisi ambao hatuna hela na bado hatujakamata hela hatuna stress sana.
Kuliko mtu ushike hela halafu tena urudi tena nyuma.
Eeh sie hatuna ukwasi tunaona freshi tu maisha yetu yanaenda basically πŸ˜… ila utoke kwenye 11M per months hadi 3M af age ishasonga prof ni 40 plus now!

Akomae arudi tu Palamaganda hana influence ya kumzidi!
 
Eeh sie hatuna ukwasi tunaona freshi tu maisha yetu yanaenda basically [emoji28] ila utoke kwenye 11M per months hadi 3M af age ishasonga prof ni 40 plus now!

Akomae arudi tu Palamaganda hana influence ya kumzidi!
Labda wanategemea 2025 wataingia madarakani[emoji16].
Mwenzake muda huu FA anapigwa tu na kiyoyozi pale Dom.
 
Labda wanategemea 2025 wataingia madarakani[emoji16].
Mwenzake muda huu FA anapigwa tu na kiyoyozi pale Dom.
Eeh FA aliusoma mchezo mapema akasafiria nyota ya Jiwe πŸ˜… anagonga zake meza safi kabisa hafungui mdomo kabisa πŸ˜…
 
Hivi alipewa ofa gani ?
 
J wamitulinga ni mtu wa fursa na kuzifanyia kazi kama fursa zipo CCM basi atahamia CCM.
 
Eeh FA aliusoma mchezo mapema akasafiria nyota ya Jiwe [emoji28] anagonga zake meza safi kabisa hafungui mdomo kabisa [emoji28]
Hela ndefu sana zile aisee.
Ile ajira ni raha Sana.

Prof wa watu amerudi kurap[emoji16]
 
Kumbuka Jay ana familia ya kuwalisha.
Kwani wewe mumeo hafanyi kazi ili kupata mahitaji ya familia?
Siasa ina muda wake na kazi ina muda wake.
 
Mtoa post naona huo ni mtazamo wako binafsi na pia ni namna unavyoyaona mambo binafsi. Lakini pia kumbuka hilo ni tamasha la muziki. Sasa sijui kama tamasha hilo limeandalwa na chama cha mapinduzi na kuamua kumkaribisha prof J, la hasha. Prof J ni mwanamuziki na hiyo ndiyo sanaa yake na ndiyo imekuwa ajira yake kwa muda mrefu sana..

Nadhani mitazamo yetu wakati mwingine tuwe tunaiweka pembeni. Haina mantiki yoyote. Ule ni muziki na ni sanaa.

Tuseme kwamba RAISI WETU ALIPOZUNGUMZA NA VIJANA WA KITANZANIA WALE WA VYAMA VINGINE WALIKATAZWA NA VIONGOZI WAO WASISHIRIKI?

Pili, wale vijana walioshiriki katika mkutano huo kutoka vyama vingine vya siasa tangu hapo walibadilika na kuwa wanachama au wafuasi wa chama cha Mapinduzi?

By the way, kwa mtazamo wa fikra kengeufu uko sawa kabisa lakini kwa upande wa pili wa sarafu hiyo hiyo moja yaani kwa mtazamo wa fikira yakinifu ni dhahiri kuwa "PROPAGANDA" iko kazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…