Naona kuna kila dalili ya Prof Jay kutimkia CCM

Professor Jay ana akili timamu hawezi kujiunga na genge la wezi wa kura
 
Huyo yeye alikuwa ana mahaba yake binafsi kwa jiwe. Hakuwahi kutoa nyodo kwa wahanga wa utawala wa dikteta.
Kama alikuwa na mahaba na JPM, maana yake alikuwa anakubali jiwe ateke watu au auwe watu, ndio maana akafumba macho maana ana mahaba nae Kwahiyo kila analofanya Ata kama baya anamuunga mkono kwasababu ya mahaba , vip Kitendo hiki cha Konde boy kuwa na mahaba na JPM ambaye wewe unamuona muuaji sio usaliti?inawezekana maana ya mahaba imekupita kushoto
 
Arudi tu Chadema hawana mwelekeo.
Wana lugha za ukakasi sana wametuchosha wengi
 
Mahaba binafsi siyo Usaliti. Elewa hilo. Sadala alikuwa ana mobilize watu wampende dikteta na wapende upuuzi wa dikteta.
 
Professor Jay ni wale watu wenye akili ndogo ili wenye bahati sana maishani na wanaojua kuishi na watu wazuri na wabaya.
 
Mahaba binafsi siyo Usaliti. Elewa hilo. Sadala alikuwa ana mobilize watu wampende dikteta na wapende upuuzi wa dikteta.
Kumbe na wewe una mahaba na Mmakonde ndio maana Ata ubaya wake unaona sawa ahahaha, vip Harmonize ampende mtu ambaye mnasema ni muuaji halafu usiwe tatizo ? adi tattoo anachora kuonyeshwa kupendezwa na atendalo JPM tena anaonyesha mitandaoni namna alivyochora na namna anavyo kubali matendo ya JPM ikiwemo na hilo la Utekaji usemalo,halafu unakuja unasema sio msaliti ahahahahah , haishangazi ndio maana mlimpitisha Fisadi Lowassa awe mgombea pamoja na kumtukana miaka 10
 
Muda wa kampeni umepita. Huu ni muda wa kazi. Pia kuhamia CCM siyo dhambi
 
CCM mnaota ndoto za mchana
 
Lowassa yuko wapi now?
 
si fisadi kwanini hapelekwi mahakamani?
Waliomuita Fisadi miaka 10, tena wakidai wanao ushahidi wa ufisadi wake, wamekula matapishi kwa njaa zao wakamsafisha, sisi nani tumpeleke mahakamani Ata ushahidi hatuna
 

Inamnufaisha nini kwa sasa ! wanahamaga wakati wa uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…