Kilasi Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 2,325
- 723
Chama ambacho huwekwa madarakani na tume. Wangejua wana pendwa wasinge ng'ang'ania katiba hiyo ya chama kimojaPr. J anafanya kazi yake ya muziki ambayo ni kama aliacha miaka 5 iliyopita sasa lazima atembee nyota wa wasanii wanaopendwa kwa sasa ili nae arudi kwenye reli.
chadema digital inasemaje mkuu
Mapato yanatisha ! tunafikiria kuigawia serikali kiasi fulani ili igharamie mchakato wa katiba mpyamapato yanasemaje mpaka saaahv mkuu
Wewe ndo hujui kitu kabisa,nchi hii,muulize mtu mwenye akili timamu,ni nani msanii mkubwa nchi hii,asipotaja Prof Jay uje uchukue hela ya kula.Pr. J anafanya kazi yake ya muziki ambayo ni kama aliacha miaka 5 iliyopita sasa lazima atembee nyota wa wasanii wanaopendwa kwa sasa ili nae arudi kwenye reli.
Ccm hii hii iliyokua inaongozwa na mwenyekiti kichaa mwenye file lake pale milembe?!🤣🤣Prof Jay ni matunda ya sera nzuri za CCM
Mapato yanatisha ! tunafikiria kuigawia serikali kiasi fulani ili igharamie mchakato wa katiba mpya