Naona kuna wimbi la wasusiaji wa Chadema hasa wale wanaharakati kwasababu wanataka Lissu awe mwenyekiti.
Hata mimi nafikiri ni wakati Lissu angetakiwa kuwa mwenyekiti lakini tupiganie sababu za kutaka Lissu awe mwenyekiti.
Tupiganie midahalo na kuelimishana sio kuzuia midahalo. Elimu ipatikane kwa safari hii sio kwasababu tunamtaka mtu turuke kila kitu na kususia.
Soma Pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA
Hatuwezi kuwa watu wa demokrasia na kushangaa majibizano. Lissu anajua anawatu wengi nje ya CHADEMA zaidi ya ndani lakini anataka majadiliano ya wazi ili watu wajue ni njia gani Tanzania inatakiwa kuwa.
Kwasasa CHADEMA haitaweza kuwa ile ya zamani Hata Lissu hii itamfanya awe mvumilivu zaidi ajue nani rafiki yake na kuwa makini na watu wapenda madaraka kama Msigwa.