Naona madaktari bingwa kabisa wamepanic kuhusu mimi 😁😁😁

Naona madaktari bingwa kabisa wamepanic kuhusu mimi 😁😁😁

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
61,672
Reaction score
178,673
Aseee mimi ni mchaga mmoja mpumbavu tu ,ambae nilimaliza elimu yangu chuo kikuu cha udom kama mkunga na nursing.

Now bado nasoma na ninatafuta degree ya medical doctor kwa sasa , na nyie mnaodharau ma nesii na wakunga , madaktari wa bongo nyoso wa ugoko tunawajia kwa kasi ya 6 g gademitt 😁
 
Kwa nini umemua kupoteza muda kusoma tena MD na umri umeshakutupa mkono bwashee.

Ungejikita kutafuta hela au umechoka kuosha vidonda.
 
Back
Top Bottom